Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Kuna maeksi wengine si poa....tushaachana zaid ya mara tatu nikqpiga kimya ila akawa anakaa kama mwaka kabisaa na bdo anarudi naendelea kugonga..ila huu mwaka tulizinguana akaondoka ile nmejaribu kubembeleza akaruri....ila zile swagz alizokujq nazo kuongea na maboya wengine afu dharau kibao....aysee nlimchangamsha na makofi kadhaa...baada ya hapo huwa anaomba tuonane baada ya hapo anaanza niandikia msg kwamba hanipendi....mi nakula buyu tu Wala Sina sijishughulish kujibizana nae

...
 
Mgaratia
 
Kuachana siyo uadui, na hata ukifuta namba haimaanishi umefuta kumbukumbu ya sehemu ya maisha yako kuwa uliwahi kuwa nae. Atakufaa mbeleni kwa namna moja ama nyingine. Hakuna uadui wa kudumu. Sisi ni pipo tutakutana.
Yes upo sahihi
 
Oyooooooooo!!! [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Babu usijali nitawahi siku moja kabla ya kazi ili nisikuangushe [emoji39][emoji39][emoji39]
Usiache kuja na Mkwe wangu Countrywide niwaoneshe mashamba mliyosema mnataka kulima, Babu yenu nimezeeka sasa bora niwagawie urithi wenu mapema 🤗

Msisahau kuniletea Kiko zangu tu, maana Babu yenu hili baridi bila kuvuta litaniua 🤪
 
Ni kweli huwezi kushindana na Mbususu kama unavyosema lakini Ukifanikiwa kumfikisha kileleni, kuna asilimia kadhaa huyo Mpenzi wako kutochepuka.

Mwanamke anachekupa kwasababu mbili ama tatu;
  • Kutofikishwa
  • Pesa
  • Muda wako
Jaribu kumpatia hivyo hutakaa uone anachepuka.
Na huwezi kuwa navyo vyote....tatizo linaanzia hapo.
Una hela hujui kutomber. Unajua kutomber huna hela
 
Tunajaribu kuwatahadharisha Vijana wetu Mjukuu, sisi umri umetutupa Mkono 🤪

Imagine una ma-ex watatu, na wote bado mnapeana utamu.

Ikitokea mmoja ameungua, si wote mtaunganishwa?
🤣🤣🤣🤣 cha muhimu mme enjoy kupeana utamu
 
Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?

Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
umenikumbusha jamaa yngu mmoja kuna siku tumekuta anakoromewa kibabe na dem mmoja wa kitaa kwe2. inaelekea jamaa alimtongoza sasa dem ikawa hataki.

sasa cha ajabu siku ileile jioni tukashangaa dem anatoka kwa aibu getoni kwa jamaa kajifunika kiushungi. tukajua tyr nahii imeenda😆.

nkajifunza kumbe me na ke ha2na haja ya kununiana 2nahitajiana sana.
 
Kama usemacho ni sahihi basi utakuwa una roho ya mauti.

Kuna jamaa naye kila Mwanamke atakaye funga naye ndoa baada ya mwaka mmoja lazima afe huyo Mwanamke.

Ameshafiwa na Wake wanne [emoji119]

Juzi nimeona akitafuta Mwanamke mwingine sina hakika kama atapata labda kwa wasiomjua
hii nimeshuhudia dada mmoja alikuwa ameolewa na mume wa kwanza huyo mume akafariki. akaja akaolewa tena mume akafariki. nikawambia watu huyu dada atakuwa na mfadhaiko mkubwa sana kwenye jamii, jamii itamuona ana tatizo haikupita mufa nae akafariki!

kuna mbunge mmoja wa JMT ambaye pia nim mwanamuziki aliwahi kufiwa na wanawake wake wake wawili ikazua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo hapa JF
 
mie uwa nabaki nazo ili niweze kumblock mtu maana km sina nambaako ukipiga lazma utanipata hewan na kama sina siwez kujua nani anapiga, nitapokea. kuepusha ilo ni afazali nikisevu hlf nakulima bonge moja la bloku adi serekali na halmashauri yangu itavoamua vinginevo..
 
Usiache kuja na Mkwe wangu Countrywide niwaoneshe mashamba mliyosema mnataka kulima, Babu yenu nimezeeka sasa bora niwagawie urithi wenu mapema [emoji847]

Msisahau kuniletea Kiko zangu tu, maana Babu yenu hili baridi bila kuvuta litaniua [emoji2957]

[emoji23][emoji23][emoji23] Nitakuja babu huo urithi ndio mzuri, nakuletea mtungi wa shisha kabisaaa usiwaze!! Mwambie bibi…………..!!? Aniandalie vyuku vya kushatoo
 
Na huwezi kuwa navyo vyote....tatizo linaanzia hapo.
Una hela hujui kutomber. Unajua kutomber huna hela
Hahahaha........................kweli mambo ni magumu kwa ground 😅🙌
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nitakuja babu huo urithi ndio mzuri, nakuletea mtungi wa shisha kabisaaa usiwaze!! Mwambie bibi…………..!!? Aniandalie vyuku vya kushatoo
Usijali Mjukuu, karibuni sana
 
Back
Top Bottom