Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Ulimwacha mpenzi wako eti sio mzuri kumbe ulikuwa humuhudumii.

Baada ya miaka 3 unamkuta kapendeza plus Chura ya kunesa nesa, unamfata kumbe ndiyo anakuunga kwenye umeme Mkubwa 🤪

Tujitahidi kuwa na moyo wa kutorudi nyuma, ndiyo maana Mke wa Ruthu alipogeuka nyuma enzi ya Sodoma na Gomora alibadirika kuwa jiwe la Chumvi.
Sawasawa
 
Sio kweli, itakuwa zilikuwa hadithi za kutunga tu kama zilivyo za Shigongo.

Umri huu siwezi kufanya hayo Mjukuu.

Njoo tulime kunisaidia Babu yako [emoji847]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Babu bana mjanja mno wewe!!
Babu me unialike kuja kuhesabu maokoto kipindi cha kuuza, kulima hapana kwa kweli
 
Back
Top Bottom