Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Kuchepuka ni siri ya mtu.Wewe ambaye uko nae kwenye mahusiano,maranyingi hamuwi watu wa kwanza kujua kua mtu wako anachepuka.
Nikukumbushe kitu,hakuna mwanaume ambaye ni full package,yaani ana kila kitu anachohitaji mwanamke.Sasa mwanamke hujikuta anahitaji kila kitu,ila hivyo anavyohitaji,yeye kadri anavyozidi kukua,huanza kuvipunguzapunguza,na mwishowe kutulia,kutokana na umri.
Ni sahihi usemecho Mkuu, ndiyo maana inakuwa vigumu wakati fulani kumtuliza Mwanamke.

Ndiyo maana tumewahi kuona Mwanamke aliyepewa kila kitu kuanzia gari nzuri, nyumba, hela ya saluni n.k lakini bado alichepuka.

Na kwa Dunia tuliyopo sasa Wanawake wetu wamekuwa kwenye vishawishi kila mahali, na wengi hujikuta wametumbukia kwenye usaliti.

Kwa kweli wakati mwingine ni kuomba neema ya Mungu iwatembelee.

Suala la Kuchapiwa linauma sana Kwa kweli 🙌
 
Ndiwooooo!! Tena ukamtoa matenga etiii!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Babu we kiboko!!![emoji119][emoji119][emoji119]
Nasikia ulimuahidi ungempa pesa ndefu, afu pah!! Kakutana na kitu kizito [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sio kweli, itakuwa zilikuwa hadithi za kutunga tu kama zilivyo za Shigongo.

Umri huu siwezi kufanya hayo Mjukuu.

Njoo tulime kunisaidia Babu yako 🤗
 
Kuachana siyo uadui, na hata ukifuta namba haimaanishi umefuta kumbukumbu ya sehemu ya maisha yako kuwa uliwahi kuwa nae. Atakufaa mbeleni kwa namna moja ama nyingine. Hakuna uadui wa kudumu. Sisi ni pipo tutakutana.
Sawa.
 
Yaani umeachana na mpenzi wako miezi 12, miaka 2 au 5 then ukikutana naye unataka muendelee mlipoishia serious?

Kwa Dunia hii yenye watu wanakula samaki kwa geuza?

Labda kama mna hamu ya kuingizwa kwenye grid ya Taifa.

Kama ulisha move-on kwanini usitulie na huyo uliyenaye?
Sawasawa..
 
Back
Top Bottom