Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

hii nimeshuhudia dada mmoja alikuwa ameolewa na mume wa kwanza huyo mume akafariki. akaja akaolewa tena mume akafariki. nikawambia watu huyu dada atakuwa na mfadhaiko mkubwa sana kwenye jamii, jamii itamuona ana tatizo haikupita mufa nae akafariki!

kuna mbunge mmoja wa JMT ambaye pia nim mwanamuziki aliwahi kufiwa na wanawake wake wake wawili ikazua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo hapa JF
Bila kuvunjwa hayo maagano hao watu lazima waendelee kuua wenza wao
 
🤣🤣🤣🤣 cha muhimu mme enjoy kupeana utamu
Hahaha...................kuna jamaa alisemaga humu kama tunakufa kuna haja gani ya kufa ukiwa na maini yote .........wakati huo jamaa wanapiga marufuku ulevi kupita kiasi 🙌
 
Hahaha...................kuna jamaa alisemaga humu kama tunakufa kuna haja gani ya kufa ukiwa na maini yote .........wakati huo jamaa wanapiga marufuku ulevi kupita kiasi 🙌
🤣🤣🤣🤣Ulimsaidia
 
Sasa kama Babu unatushauri vp wajukuu zako😆
Kuweni makini mnapoanzisha mahusiano mapya.

Peaneni muda walau miezi 6 hadi mwaka kuweza kufahamiana.

Kama ni wa kuoa, muda wa kufahamiana uongezwe hata miaka 3
 
Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini?

Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura.
Hahahaha, ni kweli kbs mkuu
 
Back
Top Bottom