Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Ma-ex wengine wanazingua kiasi ukiskia jina kama lake unahisi kizunguzungu😔
 
Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini?

Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura.
Niliwahi kutunza namba zaidi ya miaka 25,
 
Mimi ma ex zangu wote 5 tunachati tunasaidiana na mbususu nikitaka nachakata ..ishini na Hawa viumbe vizuri kuachana sio mwisho wa mahusiano .
 
Hawajui maisha yalivyobadirika, enzi zetu tunaenda vitani Uganda mwaka 1978 unarudi Vitani baada ya miaka 2 unamkuta mkeo yupo kama ulivyomuacha.

Siku hizi unaenda kazini asubuhi kurudi jioni unakuta Vijana wa hovyo wameshapiga chatta.

Ndiyo sembuse mmeachana miaka 3, si utajikuta amekuunga kwenye Grid ya Taifa uanze kumeza dawa [emoji2957]
Grid ya Taifa upate umeme wa REA au kawaida[emoji16][emoji16]
 
Kuna ukweli hapa . [emoji3061]

siku izi watu walioachana wakikutana wanakua kama hawajawah kuachana ,

"Naamini : Kila mtu ana yule ex ambae akikutana nae inakua kama amekutana na rafiki yake Bora wa zamani .
Daah yan hapo ulipoongea hivyo nywele zimenisisimka baada ya kukutana na X Y Z wangu na kupiga show moja matata sana Qumamaaaaaaaake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu itabidi tuwachunguze anayemiliki bastola naachana naye, sitaki wasije kuni Ufoo Saro bure
Hahahaha...................umenikumbusha huyo rafiki, sijui alipotelea wapi maana baada ya lile tukio sijamsikia tena 🙌

Bastola muhimu kuwa nayo, Babu yako mwenyewe ninayo ila ndiyo ile ya kabla ya Uhuru, naitumia kuwatishia Ngedere tu wasile mahindi yangu 🤪
 
Ujinga mtupu kuwa na namba yake. Ushirikiano wa mambo mengine yapi kama mlishindwana kwenye mahusiano mtawezana kwenye mambo mengine?
ninavyo fahamu ma ex wakikutana ni kunongooka tu basi no plan no stragies. kitu ambacho ni upuuzi tu
 
Hahahaha...................umenikumbusha huyo rafiki, sijui alipotelea wapi maana baada ya lile tukio sijamsikia tena [emoji119]

Bastola muhimu kuwa nayo, Babu yako mwenyewe ninayo ila ndiyo ile ya kabla ya Uhuru, naitumia kuwatishia Ngedere tu wasile mahindi yangu [emoji2957]

Sijui alipotelea wapi na kazi aliacha ITV

Babu hilo la enzi ya uhuru ndio utalitumia kukimbiza wajukuu watakaoleta fujo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui alipotelea wapi na kazi aliacha ITV

Babu hilo la enzi ya uhuru ndio utalitumia kukimbiza wajukuu watakaoleta fujo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kulikuwa na tetesi hapa JF kuwa eti alikuwa ni mtu wa mfumo, ndiyo maana aliweza kukwepa zile risasi 🙌

Atakayeleta vurugu lazima nitumie manati ya Mzungu kuweza kumtuliza, hasa wale waonjaji tu wasiotaka Ndoa 🤪
 
Mwanamke ukitaka kuvunja ndoa yako haraka kuwa na Tabia ya kuchati na ex wako
 
Kulikuwa na tetesi hapa JF kuwa eti alikuwa ni mtu wa mfumo, ndiyo maana aliweza kukwepa zile risasi [emoji119]

Atakayeleta vurugu lazima nitumie manati ya Mzungu kuweza kumtuliza, hasa wale waonjaji tu wasiotaka Ndoa [emoji2957]

[emoji23][emoji23][emoji23] Watu wa JF kila mtu wana data zake!![emoji119][emoji119]

Hapo kwenye waonjaji hawataki ndoa anza na unayetaka kumrithisha mashamba yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom