Humu kila mwanamke anapinga eti hawezi kurudiana na ex wake,ila ukweli wanawake wengi kwa maex zenu hamchomoi, mkatae mkubali wenye uwezo ni wachache mno, sawa na kusema hamna.
Ila hamjijui wanawake wengi hamna vifua kwa changamoto zenu mnazokutana nazo kwenye ndoa na mahusiano yenu. Mnapenda kuongea mahusiano yenu kwa watu wa nje ili mpate relief na kuonewa huruma na time kama hizo kama ukakutana na ex-wako 99% lazima mtapasha kiporo.Kwani kuna wengine hata ushauri wa mahusiano yao wanawaomba maex wao.
Hapo sasa ndipo thamani kuoa bikra unapo onekana,kwani anakakuwa kiroho kafungana na mmewe tu.Ila kama uliachia kipochi manyoya kwa baadhi ya wanaume,basi jua umeshafungama nao kiroho karibia wote.
Siku zote wanawake ni watu wa kushawishiwa na ndio maana mnatongozwa,so kama mlikuwa na mahusiano kipindi cha nyuma,basi basi hapo hamna kutongozana sana kwani kiporo hakihitaji moto mwongo.