Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini?

Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura.
Zinaitwa mechi za kirafiki, kujiandaa na mashindano rasmi
 
Umepata babu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe sema unataka la rangi gani?
Ngoja nishauriane na Bibi yako hapa, maana amekuwa akinichagulia nguo tangu nimwoe mwaka 1942 🤪
 
Haswa grid ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…