Sababu kubwa ya makanisa Afrika kufurika kuliko Ulaya ni kwa Sababu dini ilianzia Afrika

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,056
Ukisoma Biblia Mungu aliongea na Musa Misri

Ndipo imani ya Mungu wa Kweli ilipoanzia baadaye ikapelekwa Israel ambako Yesu ndiko alizaliwa tokana na kizazi kilichotoka Afrika na kwenda kuishi Israel kikiongozwa na Musa na Joshua.

Yesu kizazi cha Africa alipotaka kuuawa Israel akiwa mtoto alikimbilia kwa Mababu zake Waafrika Misri for consultation na mababu na mabibi na nduguze waafrika na kwa kuwa safe.

Baadaye kizazi cha Mwafrika mwenzetu Yesu Kristo kikaanzisha Ukristo ambao ulipelekwa kwa wapagani wakubwa wazungu ulaya.

Lakini kwao dini kama imeshindikana kuingia mioyoni ukienda ulaya makanisa mengi matupu wamerudia upagani wao.

Huku Africa tunaendelea kujaa makanisani sababu tunajua dini kuliko wao sababu sisi ya kwetu imejaa kwenye roho wao ya kwao walikuwa wanajaza vichwani tu kama head knowledge na sio spiritual knowledge. Ndio maana hutashangaa Waafrika kukuta makanisa yamejaa hatari wakati kwao yako matupu.
 
Shida yetu waafrika tunajaa makanisani lakini hatujai moyoni.

Dini ipo nje zaidi kuliko ndani yetu.

Tunashika dini na tunashika Yale mengine pia, yaani tunaingia kanisani tunamuacha shetani mlango tukimaliza ibada tunaondoka na shetani.

Tunajaa makanisani Kama desturi tukipata shida, tukitaka mali kwa shetani.

Mwafrika Kama angeshika dini ipasavyo asingekuwa alivyo.
 
Umeenda ulaya kweli?
Ingia hata goggles tu tafuta churches on sale United Kingdom au Europe yanauzwa kibao hayana watu

Nenda ujerumani uone makanisa.mengi ya kilutheri nk , nenda Uingereza makanisa mengi ya Anglican magofu na hayana watu
 
Ingia hata goggles tu tafuta churches on sale United Kingdom au Europe yanauzwa kibao hayana watu

Nenda ujerumani uone makanisa.mengi ya kilitheri nk , nenda Uingereza makanisa mengi ya Anglican magofu na hayana watu

Mimi nimeishi. Hskuna fujo kama huku, ila wanapenda Mungu. Hawa wanaofurika kwa Mwamposa, na manabii wengine hewa hawana lolote.
 
Ukisoma Biblia Mungu aliongea na Musa Misri

Ndipo imani ya Mungu wa Kweli ilipoanzia baadaye ikapelekwa Israel ambako Yesu ndiko alizaliwa tokana na kizazi kilichotoka Afrika na kwenda kuishi Israel kikiongozwa na Musa na Joshua.

Yesu kizazi cha Africa alipotaka kuuawa Israel akiwa mtoto alikimbilia kwa Mababu zake Waafrika Misri for consultation na mababu na mabibi na nduguze waafrika na kwa kuwa safe.

Baadaye kizazi cha Mwafrika mwenzetu Yesu Kristo kikaanzisha Ukristo ambao ulipelekwa kwa wapagani wakubwa wazungu ulaya.

Lakini kwao dini kama imeshindikana kuingia mioyoni ukienda ulaya makanisa mengi matupu wamerudia upagani wao.

Huku Africa tunaendelea kujaa makanisani sababu tunajua dini kuliko wao sababu sisi ya kwetu imejaa kwenye roho wao ya.kwao walikuwa wanajaza vichwani tu kama head knowledge na sio spiritual knowledge .Ndio maana hutushangaa Waafrika kukuta makanisa yamejaa hatari wakati kwao yako matupu.
Naweza sema kuwa Umeweka udini na ubaguzi wa rangi humo humo.

Unajisifia kwenye hadithi za wenzio?

Si ajabu kuona mijadala ya watu wakisema eden ilikuwa Africa,
Si ajabu kuona watu wanaforce yesu awe mweusi.

Acheni hayo mambo, huyo Mungu ni mhusika wa hadithi tu na wala hayupo, hadithi zenyewe hzo umezotoa kwenye biblia hazijaanzia kwa huyo Musa. Kuna mababu na mababu zake.

Dini ni silaha ya moto na hatari zaidi inayoangamiza Africa 🌍.
Kule wazungu hawajai makanisani maana wanajua ukweli wa hizi dini.
Wanajua kuwa dini siyo real. Ni hadithi za kujifariji tu
 
Mimi nimeishi. Hskuna fujo kama huku, ila wanapenda Mungu. Hawa wanaofurika kwa Mwamposa, na manabii wengine hewa hawana lolote.
Huku watu wana kiu ya Mungu

Sawa kunaweza kuwa na mapungufu ya hapa na pale lakini kiu ya Kuabudu Afrika ni kubwa mno kuliko Ulaya kiu zimekufa kwa asilimia kubwa
 
Naweza sema kuwa Umeweka udini na ubaguzi wa rangi humo humo.

Unajisifia kwenye hadithi za wenzio?

Si ajabu kuona mijadala ya watu wakisema eden ilikuwa Africa,
Si ajabu kuona watu wanaforce yesu awe mweusi.

Acheni hayo mambo, huyo Mungu ni mhusika wa hadithi tu na wala hayupo, hadithi zenyewe hzo umezotoa kwenye biblia hazijaanzia kwa huyo Musa. Kuna mababu na mababu zake.

Dini ni silaha ya moto na hatari zaidi inayoangamiza Africa 🌍.
Kule wazungu hawajai makanisani maana wanajua ukweli wa hizi dini.
Wanajua kuwa dini siyo real. Ni hadithi za kujifariji tu
Asante kwa kuongea ukweli
 
YEHODAYA ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, uwe na jumapili njema, umeandika ukweli, ni wakati wa kuwahubiria habari njema za injili watu wa ulaya wasipotee kwa upagani
Nikuulize wewe, una hakika gani kwamba ukristo ni dini ya ukweli afu zingine ni fake
 
Back
Top Bottom