Umeongea mengi kuwa watu wanajaa kwa Mwamposya sababu wanaoumwa,wana matatizo ya kiuchumi,kimaisha nkSamia ni mwanasiasa na kwa vile wengi ya wanaokwenda kwa Mwamposa ni masikini watu wa kawaida naye ameona hiyo ni njia mojawapo ya kujichanganya na watu wa kawaida ili aonekane
Opium iko hadi kwenye siasa ukomunisti uliosema dini ni opium of the.people ila siasa siyo opium of the People? Watu huahidiwa ahadi hewa kibao wanashangilia weeeee mwisho wa siku umaskini uko.pale pale nchi inaendelea kusomeka mojawapo ya nchi maskini miaka yoteOpium of the Mass
Kutokana na Matatizo we are need of the Fix kuliko wao..., Hapo zamani kidogo wao walikuwa ndio wanafurika hadi wakajaa na kumwagika wakaja mpaka huku na kutu-indoctrinate kwamba imani zetu ni za kipumbavu na kishetani tufuate za kwao... (waulize kina Okwonkwo)
Anyway to each his/her own
Dini ilianzia Afrika sio Ulaya.Soma maada yangutuhamie kwenye mikutano ya siasa. Unatumia vigezo gani linganishi vinavyooanisha mambo haya mawili? Mikutano ya kisiasa - tukio la siku - utailinganishaje na suala zito la kwa nini dini inazidi kushika mizizi Afrika wakati huko ilikotoka wanajaribu kuachana
Siasa ni nini Technically ?Opium iko hadi kwenye siasa ukomunisti uliosema dini ni opium of the.people ila siasa siyo opium of the People? Watu huahidiwa ahadi hewa kibao wanashangilia weeeee mwisho wa siku umaskini uko.pale pale nchi inaendelea kusomeka mojawapo ya nchi maskini miaka yote
Religious suffering is, at one and the same time, the expression of real suffering and a protest against real suffering. Religion is the sigh of the oppressed creature, the heart of a heartless world, and the soul of soulless conditions. It is the opium of the people.
The abolition of religion as the illusory happiness of the people is the demand for their real happiness. To call on them to give up their illusions about their condition is to call on them to give up a condition that requires illusions. The criticism of religion is, therefore, in embryo, the criticism of that vale of tears of which religion is the halo.
Criticism has plucked the imaginary flowers on the chain not in order that man shall continue to bear that chain without fantasy or consolation, but so that he shall throw off the chain and pluck the living flower. The criticism of religion disillusions man, so that he will think, act, and fashion his reality like a man who has discarded his illusions and regained his senses, so that he will move around himself as his own true Sun. Religion is only the illusory Sun which revolves around man as long as he does not revolve around himself.
It is, therefore, the task of history, once the other-world of truth has vanished, to establish the truth of this world. It is the immediate task of philosophy, which is in the service of history, to unmask self-estrangement in its unholy forms once the holy form of human self-estrangement has been unmasked. Thus, the criticism of Heaven turns into the criticism of Earth, the criticism of religion into the criticism of law, and the criticism of theology into the criticism of politics.
Karl Marx yeye mwrnyewe alikuwa mwongo mkubwa mtoa ahadi hewa zilizojaa illusions kuwa society kupata maisha bora socialism au communism ndio solutions ya pains zao kuwa yes wahoji pains zao lakini solution ni socialism na communismUnajua context ya alichokisema Marx ? Ni kwamba sio dini tu aliongelea vitu vyote ambavyo vinawapa illusion watu ili wasihoji maisha yao ya sasa na pain za sasa na kujikita kwenye illusion / escapement kwenye matatizo yao...
Yaani kama ni somo lilitarajiwa limkomboe mwanadamu naweza kusema hilo somo limeshindwa vibaya sana bora kuendelea na Geography, physics nk.Shida yetu waafrika tunajaa makanisani lakini hatujai moyoni.
Dini ipo nje zaidi kuliko ndani yetu.
Tunashika dini na tunashika Yale mengine pia,yaani tunaingia kanisani tunamuacha shetani mlango tukimaliza ibada tunaondoka na shetani.
Tunajaa makanisani Kama desturi tukipata shida,tukitaka mali kwa shetani.
Mwafrika Kama angeshika dini ipasavyo asingekuwa alivyo.
Angalia Context Usiangalie mtu au nani kasema, Jifunze kuangalia kila kitu kwa a critical eye sio kumeza au kutema kila kitu...Karl Marx yeye mwrnyewe alikuwa mwongo mkubwa mtoa ahadi hewa zilizojaa illusions kuwa society kupata maisha bora socialism au communism ndio solutions ya pains zao kuwa yes wahoji pains zao lakini solution ni socialism na communism
Tanzania na huko nchi zote alikojaza porojo wakaamini porojo zake ikiwemo Tanzania kipindi cha Nyerere wakaanzisha hizo illusions zake Tanzania tukiwemo ,urusi na nchi zote za kijamaa zikiwemo Urusi ,China,Cuba nk kuwa sisi socialists na wengine communists waki quote utapeli wa Karl Marx na mavitabu yake mengi makubwa yaliyojaa porojo za ahadi hewa
Matokeo yake hizo illusions zake za kitapeli nchi zikajikuta umadkini wa kutupwa kuwa mi theory yake ilikuwa utapeli wa mchana kweupe hausaidii nchi kwenda popote kwa porojo zake za socialism na communism
Nchi zote wameachana na illusions zake imebaki Korea Kaskazini tu
Matabu yake makubwa maktaba zote za vyuo na nchi huyaoni tena hakuna anayeyataka
Kuna masomo kituko tu mfano unasema umegundua sayari ya Pluto au Jupiter.Yaani kama ni somo lilitarajiwa limkomboe mwanadamu naweza kusema hilo somo limeshindwa vibaya sana bora kuendelea na Geography, physics nk.
Africa sahau Ukristo kufa.Uislamu nchi za kiarabu ulikotoka umeanza kuaga duniaUkristo ni dini ya uongo Ndomaana inakufa
Wamekataa dini au wamekataa hijabu?Africa sahau Ukristo kufa.Uislamu nchi za kiarabu ulikotoka umeanza kuaga dunia
Uislamu wenyewe nchi za kiislamu sheria za nguvu ndizo zinafanya upumue .Sharia kali za kuhakikisha hamna uhuru wa dini zingine lakini pamoja na ukali wao wa sharia kali na nchi kuongozwa kwa misingi ya sharia.za kiislamu, uislamu umeanza kukata roho nchi za kiislamu
Kama unabisha angalia.Iran nchi ya kiislamu wasichana na wanawake waliandamana hadi kushikisha adabu serikali ya kidini ya Iran wakitaka kuipindua kisa kushinikiza wavae hijabu mavazi ya kujistiri Askari wa dini hawako tena kusimamia hilo zoezi wamewaacha huru
Nenda YouTube wanawake wanatembea vichwa wazi kibao wakiwa wanevaa jeans hakuna wa kuwagusa.Andika Iran teheran tour nk uone maajabu hijabu wanawake wengi wametupilia mbali
Na Askari wa dini wasimamia sharia law hawako mitaani tena Sababu waandamanaji wanawake waliwazidi nguvu kuwa hawataki ma hijabu
Dini ya kulazimisha wanawake Iran wameigomea
Akumulikaye mchana usiku atakuchomaWamekataa dini au wamekataa hijabu?
Unataka ufananishe watu kukataa hijabu na makanisa kupigwa minada kisa yamekuwa magofu ya kufugia buibui?
Mfano kwa Tanzania waislamu wengi ni wa mwezi wa RamadhaniWamekataa dini au wamekataa hijabu?
Unataka ufananishe watu kukataa hijabu na makanisa kupigwa minada kisa yamekuwa magofu ya kufugia buibui?
Kama sijakosea kwenye vitabu wameandika MZUNGU WA KWANZA KUGUNDUA/KUONA MLIMA KILIMANJARO, na sio BINADAMU WA KWANZA KUGUNDUA/KUONA MLIMA KILIMANJARO. Wakiandika MZUNGU......waandishi wako sahihi, hata mimi naweza kuwa wa kwanza kuona mlima Kilimanjaro kutoka kwenye ukoo wangu lkn sio mtu wa kwanza kutoka kwenye kabila au mkoa wangu.Kuna masomo kituko tu mfano unasema umegundua sayari ya Pluto au Jupiter.
Mungu aliziweka toka kuumba sema wewe kwa ushamba wako leo ndio unajua ni sawa na mtu kusema alikuwa wa kwanza kuona mlima kilimanjaro au ziwa Victoria ni ubwege tu.Vitu hivyo viko miaka yote
Ushamba wetu ndio tunachukua miaka mingi kujua.Mtu akienda mwezini inakuwa story ya dunia kama inavyokuwa stori kijijini kwa familia ambayo haijakuwa na mtu ambaye hajawahi kwenda Dar es salaam au ulaya akirudi kijiji kizima kinakaa kuzunguka awape story za Dar au Ulaya ndio hao waenda mwezini .Wakirudi kutoka huko mwezini kijiji chote yaani washamba wa dunia wote wanawazunguka lete story za mwezini
Mungu kwenye kiti chake cha Enzi anacheka hadi basi na anawaambia malaika angalieni mshamba yule na washamba wenzie ambao hawajawahi fika Mwezini wanavyomuona shujaa!! Eti bonge la scientist
Kweli kipofu kaona mwezi mtu kwenda sayari sijui Pluto,sijui Jupiter nk inakuwa habari ya mjini? Ushamba tu huko ni sawa kwenda sehemu ambayo hujawahi fika kama muheza,Lushoto au Buguruni kwa Kimbengele au Manzese kwa mfuga mbwa it is not a big deal
Mkuu hizo simulizi umetoa wapi???? Kwa wayahudi au mababu zako???Ukisoma Biblia Mungu aliongea na Musa Misri
Ndipo imani ya Mungu wa Kweli ilipoanzia baadaye ikapelekwa Israel ambako Yesu ndiko alizaliwa tokana na kizazi kilichotoka Afrika na kwenda kuishi Israel kikiongozwa na Musa na Joshua.
Yesu kizazi cha Africa alipotaka kuuawa Israel akiwa mtoto alikimbilia kwa Mababu zake Waafrika Misri for consultation na mababu na mabibi na nduguze waafrika na kwa kuwa safe.
Baadaye kizazi cha Mwafrika mwenzetu Yesu Kristo kikaanzisha Ukristo ambao ulipelekwa kwa wapagani wakubwa wazungu ulaya.
Lakini kwao dini kama imeshindikana kuingia mioyoni ukienda ulaya makanisa mengi matupu wamerudia upagani wao.
Huku Africa tunaendelea kujaa makanisani sababu tunajua dini kuliko wao sababu sisi ya kwetu imejaa kwenye roho wao ya.kwao walikuwa wanajaza vichwani tu kama head knowledge na sio spiritual knowledge .Ndio maana hutashangaa Waafrika kukuta makanisa yamejaa hatari wakati kwao yako matupu.
Somo lolote kuwa ukombozi inabidi lizangatiwe lisipozingatiwa haliwezi kukomboaYaani kama ni somo lilitarajiwa limkomboe mwanadamu naweza kusema hilo somo limeshindwa vibaya sana bora kuendelea na Geography, physics nk.
Upo sahihi, ila kadri miaka inavyosonga hayo yanarekebishika, wengi huku Africa waliupokea Ukristo kimapokeo tu, ila mambo kwa sasa yanabadilika kutokana na ufunuo na uamsho mpya uliopo sasaShida yetu waafrika tunajaa makanisani lakini hatujai moyoni.
Dini ipo nje zaidi kuliko ndani yetu.
Tunashika dini na tunashika Yale mengine pia, yaani tunaingia kanisani tunamuacha shetani mlango tukimaliza ibada tunaondoka na shetani.
Tunajaa makanisani Kama desturi tukipata shida, tukitaka mali kwa shetani.
Mwafrika Kama angeshika dini ipasavyo asingekuwa alivyo.