YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
- Thread starter
- #21
Huku Tunabalance tunajaa mechi za mpira na makanisaniHata afirika sasa nihiviywo
Ulaya wako upande mmoja tu wa Mpira makanisani kutupu
Pili kwa Tanzania wanaojaa sana kuangalia mechi wengi vijana watu wazima huwa wachache ulaya ni makundi yote hufurika mpirani kwa wingi
Sisi huku vijana na wazee wote hujaa makanisani