Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,479
- 2,877
Be realistic chief.Ilikuwa ni Wivu tu wa mwalimu baada ya kuambiwa Lowassa ana kibanda pale SA
Edward hakuwa na Utajiri wowote ila hakuwa na mawazo ya Kimaskini
Wewe hapo, leo unaweza kukodi ndege kutembeza form ya kugombea nafasi ya kiasiasa hata mikoa mitano tu?
Nataka kuamini JKN kwa taarifa toka jikoni hazikuwa zinadanganya. EL 1995 alitoa wapi fedha za kumfanya kuzunguka nchi nzima?
Kama ni mawazo ya utajiri ni jambo jema, ila kwa nafasi zake za utumishi wa umma, alitoa wapi fedha za kukodi ndege, "kununua media na wajumbe" ili aonekane "anakubalika"?
Wazungu wanasema, show me your friend, I can tell, who you're. Mmoja wa marafiki wa EL ndiyo yule mburushi ambae kupitia kampuni zake tumepigwa sana; je, unadhani angeingia jumbe jeupe akiwa na uwahiba na watu kama mburushi ambae Kagoda, EPA, Richmond&Dowans alikuwa nyuma ya pazia, unadhani nini kingebaki?