Makani_evarist
Senior Member
- Sep 5, 2020
- 192
- 136
Umati huu wote kura zao Ni kwa MagufuliGeita hapaView attachment 1564307
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umati huu wote kura zao Ni kwa MagufuliGeita hapaView attachment 1564307
Aisee hizi zote Ni kura za MagufuliUmati huu wote kura zao Ni kwa MagufuliView attachment 1564309
Hahahaha UVCCM ni watiifu na msiwaone wako kimia wanaishi kwa muongozoBaada tu ya Uvccm kufunguliwa kutoka kifungoni na Katibu wao Mkuu Bashiru Ali, hatimaye tunaanza kuona cheche zao.
Amekwisha watahadharisha kuhusu ndoto za mchanaKwa taarifa yako huyo Magufuli wako ni mpinzani kuanzia hapo November 2020.
6. Tume
7. Polisia
8. Mfumo utakao tumika kujumuisha matokeo
8...
9.......
Kama hujaelewa ni wewe kwasababu ya mvinyo wa madaraka uliokuleweshaNaona umetutajia Sababu ambazo kimsingi hazieleweki.
Mmeshindwa kunadi Sera kwa wananchi mnakimbilia kusingizia tume ya Uchaguzi itampendelea Magufuli. Kushindana na CCM kisiasa tu mmeshindwa, Nendeni mkajitafakari kwa mara nyingine mje na Hoja zenye Mashiko
Mbona umeacha sababu kuu ambayo katibu mkuu wako aliitaja kuwa ndio msingi wao wa ushindi?Alisema watatumia dola kubaki madarakani!Sasa wewe kapuku unapingana na katibu mkuu ambaye yuko jikoni kabisa?
watu wanaumia huko CCM oyeeeeOna ushindi wa kishindo ulivyo kwa CCM na kwa MagufuliView attachment 1564304
Na Bwanku M Bwanku
Dirisha la kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani limefunguliwa na tayali vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kazi ya kupita maeneo mbalimbali ya wananchi kunadi sera na mipango yao ili wachaguliwe Oktoba 28.
Kuelekea uchaguzi huu yako mambo ya kuyamulika kwa vyama vya siasa na wagombea wao na nafasi yao kwenye uchaguzi huu. Kwenye mijadala kuelekea uchaguzi huu, leo nakuletea sababu 5 zilizodadavuliwa kwa undani za kueleza kwanini mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli atashinda kwa kishindo na kutetea tena kiti chake cha Urais uchaguzi mkuu huu.
Moja; Kitendo cha vyama vya upinzani kususia uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hili ni moja ya kosa kubwa sana ambalo vyama vya upinzani vilifanya, kosa ambalo litaendelea kuwatafuna sana kwa miaka mitano mpaka 2024 huku kosa hilo likimpa nafasi Rais Magufuli kutetea kiti chake kwa awamu ya pili kwa kishindo sana.
Kususia kwa uchaguzi kwa vyama vya upinzani kunawanyima nafasi vyama vyote vya upinzani kukosa wawakilishi wao hasa wenyeviti wa vijiji, mitaa na vitongoji ambao wangewasaidia sana kuwaombea kura vyama hivyo kwenye ngazi za chini kabisa za wananchi kule vijijini. Leo vyama vya upinzani kwa makosa yao ya kujitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wanaenda kwenye uchaguzi huu wakiwa kama yatima wasio hata na baba na mama wanaoweza kuwapokea watapoenda mitaani kuomba kura.
Fikilia leo Lissu, Membe au Lipumba akienda kijijini nani ataandaa hata sehemu ya kufanyia mkutano na kuwatafutia kura? Hii inampa nafasi Rais Magufuli kumaliza kazi mapema sana mana tayali ana wawakilishi wengi sana ngazi za chini wanaoweza kufanya kazi hizo kwa ufasaha sana.
Mbili; mtaji mkubwa wa wanachama wa Chama cha mapinduzi; CCM ni moja ya vyama vyenye mtaji mkubwa sana wa wanachama ukilinganisha na vyama vya upinzani. Kwa mujibu wa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM- Taifa Humphrey Polepole chama hiko kina zaidi ya wanachama million 14 waliojiandikisha na waliopo kwenye database ya Chama nchi nzima. Hapo unazungumzia idadi ya wapiga kura waliojiandikisha kwenye daftali la wapiga kura kuwa million 29 tu.
Kimahesabu ukitoa wale ambao hawatapiga kura na ambao kwa namna CCM inavyopiga kampeni ni dhahili Rais Magufuli atashinda mapema sana. Mtaji huu unampa Rais Magufuli kutafuta kura nje ya CCM akiwa tayali ana mtaji mkubwa wa wanachama ndani ya Chama ambao hawafikiwi hata robo na wanachama wa vyama vya upinzani.
Tatu; kuvunjika kwa UKAWA. Ukawa kama umoja wa vyama vya upinzani ulioungana mwaka 2015 na kumsimamisha mgombea mmoja tu wa Urais kwa kiasi kikubwa sana ulisaidia sana vyama vya upinzani kuihangaisha CCM kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kwa maana kura zote za upinzani zilienda kwa mgombea mmoja tu wa upinzani ambae alikuwa ni Lowassa. Hapo unazungumza vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR na NLD ambavyo viliungana.
Kuvunjika kwa umoja huo wa upinzani unaufanya upinzani karibu kila chama kusimamisha mgombea wake hali inayowafanya wapinzani kugawanyika sana kwa makundi ya kugawana kura zaidi ya makundi 10. Kwa mazingira haya upinzani utagawana sana kura na hivyo kumfanya mgombea pekee wa CCM kukusanya kura kama mchele mbele ya kuku.
Nne; kufanyiwa kazi kwa ajenda mama za upinzani na zilizowaumiza sana Watanzania. Moja ya ajenda zilizowapa nguvu kubwa sana na kuufanya upinzani kunawili sana mwaka 2010 mpaka 2015 ilikuwa ni ajenda ya ufisadi. Mpaka mwaka 2015 hoja hiyo ilikuwa ndio mama na kwa kiwango kikubwa ndio iliwatambulisha sana wapinzani. Hata ukija kwa Watanzania kwa kiwango kikubwa sana walikuwa wameielewa hoja ya upinzani kwani wananchi walichoka sana kusikia stori za ufisadi Serikalini na kwenye ofisi za imma zilizowafanya Watanzania kuendelea kudidimia kwenye umaskini.
Hoja hii kwa kiwango kikubwa sana imefanyiwa kazi na Rais Magufuli kwa kuanzisha mahakama ya mafisadi ambayo ilikuwa ikipigiwa kelele sana na wapinzani. Zaidi Rais Magufuli ameshughulika na ufisadi kiwango kinachoonekana na wananchi ikiwemo tumbuatumbua na kukamatwa kwa wahujumu uchumi. Hii imewapa imani sana wananchi na kuona hawana haja tena ya kuipigia kura upinzani wakati tayali mgombea Urais wa CCM kwenye awamu yake ya kwanza tu ameifanyia kazi kwa kiwango kikubwa sana ajenda hiyo iliyowaumiza Watanzania na kuwapa nafasi wapinzani.
Tano; ubabaishaji wa wagombea wengi wa upinzani. Mpaka sasa sera nyingi za wagombea wa vyama vya upinzani ni vichekesho tupu kwa Watanzania wa leo wanaotaka maendeleo baada ya kuchoshwa na kuyasubili kwa muda mrefu sana. Wakati Rais Magufuli akinadi Hapa Kazi Tu na kueleza namna atakavyoendeleza mapinduzi makubwa ya uchumi kwa awamu yake ya pili, upinzani wamejikita kwenye hoja zilizojaa utani, vichekesho na ubinafsi mkubwa.
Leo Chadema wanakwambia Ni yeye tu huku mgombea wao Lissu akitumia muda mwingi kuelezea tukio lake la kupigwa risasi kuliko atakavyotatua shida za wananchi. Mara ACT wakinadi Kazi na Bata, sera iliyojaa mzaha ndani yake huku wengine wakinadi sera ya kugawa ubwabwa kwenye kampeni zao.
Huu ni utani na ubabaishaji wa wazi wazi unaompa nafasi kubwa ya ushindi Rais Magufuli ambae yeye kwenye mikutano yake amekuwa akijikita kueleza namna atavyoongeza na kuboresha huduma za afya, uchumi na miundombinu wezeshi ya barabara na maendeleo
0657475347
[/QUOTE
Aaah aisee hizi kweli kuntu,
Ndo bus tena,
Wapinzani wakojoe wakalale
Kwani dola c pesa!Mbona umeacha sababu kuu ambayo katibu mkuu wako aliitaja kuwa ndio msingi wao wa ushindi?Alisema watatumia dola kubaki madarakani!Sasa wewe kapuku unapingana na katibu mkuu ambaye yuko jikoni kabisa?
Wabeligiji,Vibaraka gani???
😂😂😂Kaombe Data kwa DPP
Ndio udhaifu wenu huu.Kaombe Data kwa DPP
Huo Ni udhaifu ???? Hebu zunguka Tanzania nzima Kama hautakutana na viwanda vinavyofanya kazi masaa 24 vikizalisha ajira za kutosha kwa watanzaniaNdio udhaifu wenu huu.
Wakutaja viwanda 3000 na ajira 8000
Pathetic!
Hawa watu wamekusanyika kwa sababu wamemwona mwanamme mmoja mwenye uwezo wa kupambana na ufisadi pamoja na Wala rushwa. Bila kuwasahau mabeberu weusi na weupe. Ni Rais asiyetishika na ngozi nyeupe hata kidogoHuo Ni udhaifu ???? Hebu zunguka Tanzania nzima Kama hautakutana na viwanda vinavyofanya kazi masaa 24 vikizalisha ajira za kutosha kwa watanzania
Yawe ni maagizo, uwe mtizamo binafsi haijalishi msingi ni ktk hoja alivoweka mezaniMaagizo kutoka juu kwa Dr Bashiru.
Unashabikia upumbavu wa kuenguana halafu unaandika utopolo mrefu wa kuchukiza.Na Bwanku M Bwanku
Dirisha la kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani limefunguliwa na tayali vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kazi ya kupita maeneo mbalimbali ya wananchi kunadi sera na mipango yao ili wachaguliwe Oktoba 28.
Kuelekea uchaguzi huu yako mambo ya kuyamulika kwa vyama vya siasa na wagombea wao na nafasi yao kwenye uchaguzi huu. Kwenye mijadala kuelekea uchaguzi huu, leo nakuletea sababu 5 zilizodadavuliwa kwa undani za kueleza kwanini mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli atashinda kwa kishindo na kutetea tena kiti chake cha Urais uchaguzi mkuu huu.
Moja; Kitendo cha vyama vya upinzani kususia uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hili ni moja ya kosa kubwa sana ambalo vyama vya upinzani vilifanya, kosa ambalo litaendelea kuwatafuna sana kwa miaka mitano mpaka 2024 huku kosa hilo likimpa nafasi Rais Magufuli kutetea kiti chake kwa awamu ya pili kwa kishindo sana.
Kususia kwa uchaguzi kwa vyama vya upinzani kunawanyima nafasi vyama vyote vya upinzani kukosa wawakilishi wao hasa wenyeviti wa vijiji, mitaa na vitongoji ambao wangewasaidia sana kuwaombea kura vyama hivyo kwenye ngazi za chini kabisa za wananchi kule vijijini. Leo vyama vya upinzani kwa makosa yao ya kujitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wanaenda kwenye uchaguzi huu wakiwa kama yatima wasio hata na baba na mama wanaoweza kuwapokea watapoenda mitaani kuomba kura.
Fikilia leo Lissu, Membe au Lipumba akienda kijijini nani ataandaa hata sehemu ya kufanyia mkutano na kuwatafutia kura? Hii inampa nafasi Rais Magufuli kumaliza kazi mapema sana mana tayali ana wawakilishi wengi sana ngazi za chini wanaoweza kufanya kazi hizo kwa ufasaha sana.
Mbili; mtaji mkubwa wa wanachama wa Chama cha mapinduzi; CCM ni moja ya vyama vyenye mtaji mkubwa sana wa wanachama ukilinganisha na vyama vya upinzani. Kwa mujibu wa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM- Taifa Humphrey Polepole chama hiko kina zaidi ya wanachama million 14 waliojiandikisha na waliopo kwenye database ya Chama nchi nzima. Hapo unazungumzia idadi ya wapiga kura waliojiandikisha kwenye daftali la wapiga kura kuwa million 29 tu.
Kimahesabu ukitoa wale ambao hawatapiga kura na ambao kwa namna CCM inavyopiga kampeni ni dhahili Rais Magufuli atashinda mapema sana. Mtaji huu unampa Rais Magufuli kutafuta kura nje ya CCM akiwa tayali ana mtaji mkubwa wa wanachama ndani ya Chama ambao hawafikiwi hata robo na wanachama wa vyama vya upinzani.
Tatu; kuvunjika kwa UKAWA. Ukawa kama umoja wa vyama vya upinzani ulioungana mwaka 2015 na kumsimamisha mgombea mmoja tu wa Urais kwa kiasi kikubwa sana ulisaidia sana vyama vya upinzani kuihangaisha CCM kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kwa maana kura zote za upinzani zilienda kwa mgombea mmoja tu wa upinzani ambae alikuwa ni Lowassa. Hapo unazungumza vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR na NLD ambavyo viliungana.
Kuvunjika kwa umoja huo wa upinzani unaufanya upinzani karibu kila chama kusimamisha mgombea wake hali inayowafanya wapinzani kugawanyika sana kwa makundi ya kugawana kura zaidi ya makundi 10. Kwa mazingira haya upinzani utagawana sana kura na hivyo kumfanya mgombea pekee wa CCM kukusanya kura kama mchele mbele ya kuku.
Nne; kufanyiwa kazi kwa ajenda mama za upinzani na zilizowaumiza sana Watanzania. Moja ya ajenda zilizowapa nguvu kubwa sana na kuufanya upinzani kunawili sana mwaka 2010 mpaka 2015 ilikuwa ni ajenda ya ufisadi. Mpaka mwaka 2015 hoja hiyo ilikuwa ndio mama na kwa kiwango kikubwa ndio iliwatambulisha sana wapinzani. Hata ukija kwa Watanzania kwa kiwango kikubwa sana walikuwa wameielewa hoja ya upinzani kwani wananchi walichoka sana kusikia stori za ufisadi Serikalini na kwenye ofisi za imma zilizowafanya Watanzania kuendelea kudidimia kwenye umaskini.
Hoja hii kwa kiwango kikubwa sana imefanyiwa kazi na Rais Magufuli kwa kuanzisha mahakama ya mafisadi ambayo ilikuwa ikipigiwa kelele sana na wapinzani. Zaidi Rais Magufuli ameshughulika na ufisadi kiwango kinachoonekana na wananchi ikiwemo tumbuatumbua na kukamatwa kwa wahujumu uchumi. Hii imewapa imani sana wananchi na kuona hawana haja tena ya kuipigia kura upinzani wakati tayali mgombea Urais wa CCM kwenye awamu yake ya kwanza tu ameifanyia kazi kwa kiwango kikubwa sana ajenda hiyo iliyowaumiza Watanzania na kuwapa nafasi wapinzani.
Tano; ubabaishaji wa wagombea wengi wa upinzani. Mpaka sasa sera nyingi za wagombea wa vyama vya upinzani ni vichekesho tupu kwa Watanzania wa leo wanaotaka maendeleo baada ya kuchoshwa na kuyasubili kwa muda mrefu sana. Wakati Rais Magufuli akinadi Hapa Kazi Tu na kueleza namna atakavyoendeleza mapinduzi makubwa ya uchumi kwa awamu yake ya pili, upinzani wamejikita kwenye hoja zilizojaa utani, vichekesho na ubinafsi mkubwa.
Leo Chadema wanakwambia Ni yeye tu huku mgombea wao Lissu akitumia muda mwingi kuelezea tukio lake la kupigwa risasi kuliko atakavyotatua shida za wananchi. Mara ACT wakinadi Kazi na Bata, sera iliyojaa mzaha ndani yake huku wengine wakinadi sera ya kugawa ubwabwa kwenye kampeni zao.
Huu ni utani na ubabaishaji wa wazi wazi unaompa nafasi kubwa ya ushindi Rais Magufuli ambae yeye kwenye mikutano yake amekuwa akijikita kueleza namna atavyoongeza na kuboresha huduma za afya, uchumi na miundombinu wezeshi ya barabara na maendeleo
0657475347
Malori yamefanya kaziHawa watu wamekusanyika kwa sababu wamemwona mwanamme mmoja mwenye uwezo wa kupambana na ufisadi pamoja na Wala rushwa. Bila kuwasahau mabeberu weusi na weupe. Ni Rais asiyetishika na ngozi nyeupe hata kidogoView attachment 1564334