Uchaguzi 2020 Sababu kuntu 5 za kwanini Rais Magufuli atashinda tena Uchaguzi huu

Magufuli atashinda kwa sababu zilizo wazi.
Sitting President ana kila kitu cha kumpa ushindi.
Wapiga kura walio wengi ni wanawake.
Makabila makubwa nchini ni Wasukuma na,Wanyamwezi nao wameapa kutomuangusha mtoto wao.
Mikoa ambayo ni kikwazo kwa Magufuli kuvuna kura ni Mbeya,Arusha,Lindi,Mtwara,Zanzibar,Singida,Iringa, Njombe.
Mikoa vivu kupiga kura ni Dar-es-salaam, Pwani,Tanga.
 
Mgombea wa CCM John Pombe Joseph Magufuli amesema kwa kipindi cha miaka 5 ametengeneza ajira milioni 6.

Nyie waimba sifa wake mwambieni labda waliojiriwa walitangaziwa ajira Ikulu, wakafanyiwa interview Ikulu,wakaajiriwa Ikulu. Lakin Huku mtaani kwetu vijana hawana ajira,walimu hawana ajira.Hali ni ngumu Mzee.
 
Nitajie jina la mgombea wa ubunge Njombe mjini. Kama kweli anapigana na ufisadi. Ni usanii tu wa kutaka kuchangiwa fedha kwenye hazina yake, ndio maana mtu anabambikiwa kesi kubwa ya ufisadi halafu anaambiwa njooo tukae mezani tuzungumze ulipe yaishe.
 
CHAMA CHA MAPINDUZI kinamvuto kwa watanzania
View attachment 1564421
Kina mvuto hasa kwa kipindi hichi ambacho mwenyekiti wa chama hichi na mgombea wa kiti Cha uraisi kwa Mara ya pili kupitia tiketi ya chama hicho amefanya Mambo yaliyowagusa watu wengi ikiwemo wale wa hali ya chini.

Lakini kwa wakati huohuo ameongeza kuchukiwa na baadhi ya watu ambao kupitia ubanaji wake wa mianya ya upigaji imewaumiza kwa namna tofautitofauti
 
Nimependa hapo kua sera ningi za wapinzani ni vichekesho tupu hiyo ni kweli kabisa yani ukiwasikiliza wapinzani wa nchi hii unaweza ukacheka sana yani hakuna sera hata moja wanayo itangaza tofauti na kuangalia magufuli kakosea wapi ndo wanapata cha kuongea kwenye kampeni zao sasa unajiuliza hayo makosa wanayo subiri wenzao wayafanya ili wa take advantage kama silaha ya kuwasema vibaya yatakwenda kuwasaidia vipi watanzania???
 
Nagusia kwakukupa taarifa fupi kuwa kuanzisha viwanda, ujenzi mbalimbali, ufufuzi wa shirika la ndege na ununuzi wa ndege zote zimetengeneza na kuajiri sasa serikali imetekeleza miradi mingapi? Uo Ni mfano kukutoa tongotongo
 
Nagusia kwakukupa taarifa fupi kuwa kuanzisha viwanda, ujenzi mbalimbali, ufufuzi wa shirika la ndege na ununuzi wa ndege zote zimetengeneza na kuajiri sasa serikali imetekeleza miradi mingapi? Uo Ni mfano kukutoa tongotongo
i like listening to Tundu lissu for there are so many things to learn as far as the history of this country's concerned. he's a history & political class on it is own. lissu doesn't speak like regular politicians do. he speak as an intellectual who's passionate about justice
 
Nani alikwambia nataka nipewe ushindi? Ili iweje? Hoja kujibu UPUUZI? 😳😳😳
ni upuuzi kusema upuuzi pasipo sababu, tua sababu tujue kama kweli ni upuuzi lakini nakutahadharisha kuwa kimjaacho mtu ndicho kimtokacho ingali sina maana umejaa upuuzi mpaka utakaponipa sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…