Sababu kuu za Mwakinyo kufungiwa kupigana tena Uingereza

Habara za ndani kabisa nimepenyezewa kutoka kwa mdau wa masumbwi huko Uingereza!

Uchunguzi uliofanywa na bodi ya ngumi kutoka Uingereza umebaini kwamba;

1. Mwakinyo Alidanganya "cheat" . uchunguzi umebaini kwamba kiatu alichopewa hakikuwa na madhara yoyote, hata hivyo alipatiwa kabla ya siku ya pambano hivyo alikijaribu na kujiridhisha kipo sawa!

Mdau alizidi kusema kitendo cha mwakinyo kusema alichezewa mchezo kwa kupewa kiatu kinachobana ni kashfa kwa bodi ya ngumi Uingereza ambayo ililenga kuichafua taswira ya ngumi nchini humo!

Hivyo mwakinyo kafungiwa kucheza michezo ya ngumi Uingereza kwa mujibu wa kanuni zinazozingatia 'Fair play"

2. Sababu ya pili iliyogundulika ni mazingira ya kuuza mechi! Hili nalo limechangia Mwakinyo afungiwe

3. Sababu ya tatu ni taarifa za kitabibu kutoka maabara ya uwanja wa ndege zilizobaini begi la Mwakinyo halikuwa na vitu vya kawaida kimchezo ambavyo vimetafsiliwa ni ushirikina katika mchezo.

View attachment 2360556
Mwakinyo katuaibisha kama Simba uchawi tu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
hiki ndicho nilichotarajia kwa mwakinyo yaani wazungu hawana masihara kwenye mambo yao aisee, ukiwa mtu wa janja janja, michongo michongo, ubabaishaji na uongo uongo wazungu achana nao kabisa baki na waswahili wenzio ufe uzikwe na maskini wenzio. copy;
 
Ukipata pesa na umaarufu warembo wanajirengesha wanakujaga na magonjwa ni hatari tupu yaan
 
Back
Top Bottom