Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Eee mkuu, hapo vibe lazima lipande.Mmmmh
ππ kimsingi na wao wapewe mitano yao tu wakainjoy nayo.Wanakuwa na k zenye mashavu pia ila pia na kausumbufu ka raha wakati wa kufanya upumbavu yana mapenzi
Wapi?Hakuna shamba la kulima huko
Uko uliko, nataka nipambane na umasikiniWapi?
ππ kimsingi na wao wapewe mitano yao tu wakainjoy nayo.
ππ yapo mkuu karibu tulime mbaazi.Uko uliko, nataka nipambane na umasikini
Saana sema mi huwa nafosi tu hivyo hivyo changamoto ni kwenye π style ngoma inatematema kinoma yani.Ila ukiwa na kauboo cha kuku kwa hawa usijaribu kutia mguu utachekwa tuuuu mwishowe utangazwe mana ndo kawaida yao
Soko liko wapiππ yapo mkuu karibu tulime mbaazi.
Hapana mkuu aendelee kutupambanoa tu, ipo siku tutamwelewa inshaalah.tundu lisu akiachiwa huru aendelee tu na mishe zakeπ
View attachment 3419785
Kupiga kibonge ni lazima uwe na pumzi
πππKupiga kibonge ni lazima uwe na pumzi
Sijui mkuu huko masasi ndiyo zinalimwa mimi niko mpakani mwa msumbiji.Soko liko wapi