Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
Eeeeh wajameni ☹️🤢Wanawake warefu wembamba Wana gubu 😎
Eeeeh wajameni ☹️🤢Wanawake warefu wembamba Wana gubu 😎
Inakususia ufanye vile utaweza 🤣Mishangazi ya kienyeji hii inajua kususia balaa.
😂😂😂 wamehamishiwa magoli tena, mbona hiyo tabia ilitajwa ni ya wafupi!Wanawake warefu wembamba Wana gubu 😎
wewe nawe ni super tallEeeeh wajameni ☹️🤢
😂😂 nsamehe weyee..Yani unapga kwenye mshono kabisaaaaa
Nataka nipambane na umasikini😅Wewe wa kusema hivi... kweli nyani haoni....
Wafupi wagomvi SI wanaasili ya jetlee😂😂😂 wamehamishiwa magoli tena, mbona hiyo tabia ilitajwa ni ya wafupi!
6,3 mkuu,,io n vere superwewe nawe ni super tall
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ila unaweza kumchukua demu mwembamba ukamtengeneza kibonge kwa ajili yako kama ukikosa vibonge halisi
Sawa lakini msitusimange ivooo😂😂 nsamehe weyee..
Ila hamna noma si kuna ambao nyinyi ni machaguo yao.
Wazee wenyewe ndio wnatufundisha vijana wao kuwa hiviHawa ndio vijana wanaotegemewa kwenye Nchi
Twende mbele turudi nyuma we ni ngongoti6,3 mkuu,,io n vere super
Upambane na umasikini bila hata kwataNataka nipambane na umasikini
aisee...Kupiga kibonge ni lazima uwe na pumzi
Hahahaha,,ati nini kijana wasema,,ila ni kweliTwende mbele turudi nyuma we ni ngongoti
Nina mashoka mawili hapa, naelekea shambani kung'oa visikiUpambane na umasikini bila hata kwata
Nimehisi huruma juu yako pole kwa kuwa mrefu 🥺😁😂Sawa lakini msitusimange ivooo
yaah yaani yenyewe ikija geto haina mambo mengi, sijui mara ichezee simu! Mara nataka sitaki! Yenyewe ikija geto kitu pekee itahakikisha kinatimia ni kukuacha bila Upwilu.Inakususia ufanye vile utaweza 🤣