Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #201
Safi mkuu ndiyo nataka nishibe hapa tuanze kupiga mavoko.Mkuu unahela ya kununua mpaka unga shukuru
Nataka kukushirikisha kwenye goma moja linaitwa TUNAENDANA ni wimbo maalum kwa mtoto mkali Waifu material.