Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #161
😂😂 ya usoni mkuu.Mashavu ya wapi
😂😂 ya usoni mkuu.Mashavu ya wapi
Nakubali mkuu.....tutapiga kolabo Moja nimuimbie Ms R ili anielewe kama nipo serious na yeyeDah ni kweli umenikumbusha mbali mkuu, ila nimeanza kujitafuta sasa kwa kuimba singeli pengine nitarudi tena juu. Hapa kuanzia August 2 nitatambulika rasmi kama Muimba singeli.
Vibonge kuna namna yake anapindwa yule kama unavyoona kitabu cha kamusi unavyokikunja unauona ule mstari wa kati wa karatasi,basi mkitoka hapo anakwambia mwenyew aisee leo umeniweza babaSaana sema mi huwa nafosi tu hivyo hivyo changamoto ni kwenye 🐕 style ngoma inatematema kinoma yani.
We unapenda mziki wa aina gani😂😂 Aaaah nilivo sipendi singeli, ujumbe hautanifikia coz sitasikiliza kamwe
Sahihi kiongozi, em nianze tizi kidogo.Nakubali mkuu.....tutapiga kolabo Moja nimuimbie Ms R ili anielewe kama nipo serious na yeye
Duh! Wanaume tunaweza kuvunja migongo watoto wa watu.Vibonge kuna namna yake anapindwa yule kama unavyoona kitabu cha kamusi unavyokikunja unauona ule mstari wa kati wa karatasi,basi mkitoka hapo anakwambia mwenyew aisee leo umeniweza baba
"Oya huyu mtoto akinikataa mwenzenu nitajinyongaSahihi kiongozi, em nianze tizi kidogo.
" Ms R , acha masihara. mwanetu Harmful ni kweli anaumia moyo....
Ukimfungia makufuli atakuwa poyoyo"
"Oya oya bila kuchoka timu ileile W.K.M wasaka tonge kwa kutumia mabavu, wekaaa..."
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍"Oya huyu mtoto akinikataa mwenzenu nitajinyonga
Penzi lake kama mlima napanda hata iwe kitonga
Mwambie asilete michosho me nishanasa kwake
Hata mwanangu dosho12 anamjua shemu lake"
Verse langu hilo 😂😂😂😂😂😂
"Mtaani kwetu Kuna kademu chibonge😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Dah mwanangu unapasuka kinoma yani ngoja nimsubiri huyo dosho12 atie mistari yake.
Lakini hadi hapa tayari mtoto kanasa, atajifanyisha tu kukataa ili kuchelewesha vitoto chekechea.
Sema tuyaache yote. I really miss youbasi alokuroga alirogwa na alomroga alivurugwa na alishakufwa
Ahahahaha ungejua mimi na setfree kwa sasa tupoje hata usingesumbuka kote hukuTena ukome utuachie mtumishi wetu wa MUNGU Setfree
GospelWe unapenda mziki wa aina gani
Hadi nmetikisa kichwa kidoogoooSahihi kiongozi, em nianze tizi kidogo.
" Ms R , acha masihara. mwanetu Harmful ni kweli anaumia moyo....
Ukimfungia makufuli atakuwa poyoyo"
"Oya oya bila kuchoka timu ileile W.K.M wasaka tonge kwa kutumia mabavu, wekaaa..."
Huna hela mwanafunzi weweSema tuyaache yote. I really miss you
usituharibie mtumishi wetu tafadhali we kapepo kadogoAhahahaha ungejua mimi na setfree kwa sasa tupoje hata usingesumbuka kote huku
Nishamaliza bana alafu unazinguwa weww wallah tenaHuna hela mwanafunzi wewe
Kwaajili yako na switch mode nakuwa Joel lwaga mwenye mizuka ya rose muhando ili ujumbe ufike kwakoGospel
Njoo nipige,npo giraffe hapaNishamaliza bana alafu unazinguwa weww wallah tena
Sio Israel mbonyiKwaajili yako na switch mode nakuwa Joel lwaga mwenye mizuka ya rose muhando ili ujumbe ufike kwako