Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #121
πππ "Ole wao wanafiki, hakika moto mkali unawangojea" π€π€π€
πππ "Ole wao wanafiki, hakika moto mkali unawangojea" π€π€π€
πππππππππππππππππππ
πππππ sema warefu ile sijui wanaita STENDINGI FAKI inamata sana sema huo wembamba wake sasa.Namkubali sana , ila huo urefu ndugu yangu hapo ni mtihani ππ
Uongoooo πKaka huyu ana urefu wa mwanamke SI kama ngongoti amenyooka ila ana nyama flani hivi mtoto unique huyu
Ni kweli lakini ni watamu kuliko hao wembamba wanaojua kukatika.Wengi ni magogo kwa bed
πππUongoooo π
Kuchezea chezea Ile minyama na kuipigapigaNi kweli lakini ni watamu kuliko hao wembamba wanaojua kukatika.
(Ni maono yangu lakini)
πππ Ukitaka kula nguruwe chagua aliyonona.Kuchezea chezea Ile minyama na kuipigapiga
ππUna hoja usikilizweπππ Ukitaka kula nguruwe chagua aliyonona.
πππππUna hoja usikilizwe
Kabla sijasema wewe SI ndiyo yule ulitungiwaga Nyimbo na brain au nimefananishaEnhee kwaio unataka kusemaje π€£
Hahahaha π π π π π π π si ndio fala lile lililewa sjui ile siku,,, ngoja kwanza we mpenda mashangazi Poor Brain utakuja kunifanya nami nionekane mzinzi kaweweKabla sijasema wewe SI ndiyo yule ulitungiwaga Nyimbo na brain au nimefananisha
πππAanh kumbe unakubalika madam halaf unasema hupendwi....sijui huna macho yakutuona tunao kupenda πHahahaha π π π π π π π si ndio fala lile lililewa sjui ile siku,,, ngoja kwanza we mpenda mashangazi Poor Brain utakuja kunifanya nami nionekane mzinzi kawewe
Eeeeh mbona ndo naskia kwako hii taarifa ππππππAanh kumbe unakubalika madam halaf unasema hupendwi....sijui huna macho yakutuona tunao kupenda π
Ni exclusive sana imekuja kwa ajili yako fungua moyo uniuzie nafasi nijenge ndani yakeEeeeh mbona ndo naskia kwako hii taarifa πππ