Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 692
- 1,131
Shamba lenye matuta mawili la viazi na vitunguu katikati kuna mfeleji wa umwagiliaji
Mali inapatikana shambani
Mali inapatikana shambani
😂😂😂 kwamba watapanda bei?Unatoa siri ya kambi
Wataanza kulinga na kujipandisha dhamani mala dufu😂😂😂 kwamba watapanda bei?
😂😂 sawa em nikaushe.Wataanza kulinga na kujipandisha dhamani mala dufu
Kweli vibonge watakuongezea umasikiniShamba lenye matuta mawili la viazi na vitunguu katikati kuna mfeleji wa umwagiliaji
Hamnaulitaka wawepo mashoga!!
Inahusianaje na mada?Oktoba tunatiki
Kwahiyo niwakate mikono!!!Oktoba tunatiki
View attachment 3420506inasikitisha sana
Mashavu ya papa au
😂😂😂 huyu ni mimi kasoro huo mwili laini tu.View attachment 3420506inasikitisha sana
Hapana, mashavu kama mashavu.Mashavu ya papa au
Mwili wako ni wa chuma?😂😂😂 huyu ni mimi kasoro huo mwili laini tu.
Hapana ila una mikwaruzo mikwaruzo sio mlaini kama wa huyo mwamba.Mwili wako ni wa chuma?