Sababu moja wapo kwanini nawapenda wadada vibonge na wenye mashavu manene

Sababu moja wapo kwanini nawapenda wadada vibonge na wenye mashavu manene

Hahahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ si ndio fala lile lililewa sjui ile siku,,, ngoja kwanza we mpenda mashangazi Poor Brain utakuja kunifanya nami nionekane mzinzi kawewe
😁😁😁😁😁😁😁🫡🫡🫡
Now nipo kwa dimbwi zito la setfree i don't know the way na feel now aiseeee..

Alafu mi sijawahi kulewa ujue ahahahahah acha ukorofi
 
Ni exclusive sana imekuja kwa ajili yako fungua moyo uniuzie nafasi nijenge ndani yake
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu dosho12 njoo ukopi mistari huku itakusaidia mahali.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu dosho12 njoo ukopi mistari huku itakusaidia mahali.
Nimeisha iskrinishuti hiyo niwe naitumia, ndugu yetu huwa anatuchora tu si tukijikanyaga kumbe yupo vizuri kwenye mistari na hataki kutusaidia πŸ˜…πŸ˜…
 
Nimeisha iskrinishuti hiyo niwe naitumia, ndugu yetu huwa anatuchora tu si tukijikanyaga kumbe yupo vizuri kwenye mistari na hataki kutusaidia πŸ˜…πŸ˜…
Mimi tangu kitambo nimegundua Bro ni mbinafsi, hataki kushiriki chochote kwa niaba yetu bali ikifika muda wa yeye kujipambania ndio huyatoa makucha yake kama alivyo fanya hapa.
 
Mbona kama mnasubir nijikwae tena mnitenge.....we mwenyew umeyumba sana ila tupo na wewe iweje Mimi mniwekee red alert πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dah ni kweli umenikumbusha mbali mkuu, ila nimeanza kujitafuta sasa kwa kuimba singeli pengine nitarudi tena juu. Hapa kuanzia August 2 nitatambulika rasmi kama Muimba singeli.
 
Back
Top Bottom