Sababu moja wapo kwanini nawapenda wadada vibonge na wenye mashavu manene

Mkuu unahela ya kununua mpaka unga shukuru
Safi mkuu ndiyo nataka nishibe hapa tuanze kupiga mavoko.

Nataka kukushirikisha kwenye goma moja linaitwa TUNAENDANA ni wimbo maalum kwa mtoto mkali Waifu material.
 
Subir kwanza nipashe "haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa"

koo likae sawa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hujagonga hata kisungura nadhani maana sauti inatoka bila mikwaruzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…