Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
1. Yakitoka kwenye gully trap yanaenda wapi?Atleast Umeuliza maswali ya maana
1. Maji yanatengenezewa “gully traps” sijaonesha tu hapo then yanakua na chambers zake
2. Sewage pits zikiwa karibu sana na nyumba kuna vitu vya kufanya ili kuilinda nyumba yenyewe. sina uhakika kama manispaa watakataa maana ninachojua wao huangalia “setbacks” kulingana na wao walivyo jiwekea standards zao ambazo zinategemea idadi wa makazi eneo usika (population density)
3. Eneo/kiwanja ni kidogo, hivo lazima so kwa muhusika ilikua oky hapo
4. Stoo ya ndani haina ulazima kwake
2.Tatizo kubwa la sewage system kuwa karibu sana na nyumba ni kuwa likipata matatizo hiyo haitakalika kutokana na harufu, uchafu kuzagaa na mimea kukua. Aidha uchafu huo utaathiri sana maji yaliyomo kwenye udongo. Hamna namna ya kulinda nyumba dhidi ya athari hizi mbali ya kuyaweka mbali na eneo la makazi.
Manispaa wanahitaji michoro ya septic tank, soak pit, inspection chambers na inayoonyesha umbali wa septic na soak pit kutoka kwenye makazi. Setback haina uhusiano na population density. Setback ni umbilical unaotakiwa kutoka mipaka ya eneo. Labda ulikuwa una maanisha FAR na plot coverage?
3. Hakuna nyumba isiyohitaji sehemu ya kuhifadhia vitu. Kukosekana kwake ndio kunasababisha vitu kuwekwa sehemu kusikotakiwa. K.m. ndoo zinajaa bafuni, chakula kinatunzwa master.
4. Bado jiko ni dogo mno.
5. Kama eneo ni dogo ungemshauri mhusika ajenge ka ghorofa au nyumba ndogo zaidi . Hii design haifai kwa eneo hilo.
Amandla....