Sababu nne za kuweka mali kwenye jina la Mama badala ya mpenzi

Noma sana!
 
Pole sana Mkuu
 
Mimi nimejifunza mali zangu simuamini mtu yoyote. Naandika kila kitu jina langu na sioi. Kwanini nimuoe mtu ambaye hatuaminiani? Kwani mi bwege?
 
Mimi nimejifunza mali zangu simuamini mtu yoyote. Naandika kila kitu jina langu na sioi. Kwanini nimuoe mtu ambaye hatuaminiani? Kwani mi bwege?
Pole mkuu
 
Na mama akifa uanze kugombea mali zako na ndugu zako kwenye mirathi.

Watu wenye tamaa za mali wapo kilamahali, hakuna njia za mkato kwenye hili swala
 
Na mama akifa uanze kugombea mali zako na ndugu zako kwenye mirathi.

Watu wenye tamaa za mali wapo kilamahali, hakuna njia za mkato kwenye hili swala
Kipi bora ugombanie mali na ndugu zako au na mwanamke wako!?
 
Kweli mkuu, watakugeuka ubaki na machozi. Halafu uone watu wanalewea pombe pesa zako.
Kwa wanaume hii ni bora zaidi kuliko kuona mwanamke anachukua ½ ya mali
 
Huwa nasema heri mali zangu wale ndg zangu kuliko mwanamke ale na mwanaume mwingine HAPANA ASEE.kati ya hao ndg 4 watakaogawana namimi nimo pia kwenye mgawao pia bado ndg wote sio vichaa kuna uwezekano mkubwa sana leo ama kesho wakasaidia watoto wangu nikipita kushoto kwa sir god. Baba mwache ale mali ya kijana wake anibariki.

Mimi nimezaa nje huwa stumi hela mtoto anabima afya. mahitaji kama nguo huwa nanunua mwenyewe au dada yangu anaenda kununua mwenyewe anapeleka.

Siwezi tuma hela akainunue samaki ampikie supu bwana yake wale usiiku kucha wapelekeane moto kwa hela yangu.
 
Huo ni utoto tu.

Umeshatoka kwa mama yako dogo, fanya maisha yako anzisha maisha yako.

Mama yako ni binadamu kama alivyo mkeo. Kuna mama vichaa na mama wazuri. Mfanye mkeo awe mke bora.
Hadi unafikia umri wa kuoa bado hujajua akili ya mama ilivyo?
 
Ndoa zimeshakuwa za kuviziana,mtume Paul alikuwa na maono ya mbali sana,aliposema kama hujaoa ni vema ukawa kama yeye bila ya mke...
Yule alikuwa na familia tena ya wake wengi. Sifa kuwa farisayo lazima uwe na mke na paul alikuwa kiongozi tegemewa huwezi kuwa bachelor halafu uende mkutanoni huko sanderin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…