Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Watu waliokuzunguka wanaiprogram tu unajikuta tayari ushaanza kumchukia Elon MuskNani anaipanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu waliokuzunguka wanaiprogram tu unajikuta tayari ushaanza kumchukia Elon MuskNani anaipanda
Case study magufuliWatu waliokuzunguka wanaiprogram tu unajikuta tayari ushaanza kumchukia Elon Musk
Kakufanya nini Hayati?Case study magufuli
Ina maana wainjilisti, wachungaji, mashemasi, mapadre na maaskofu wana laana maana kila siku wako madhabahuni kuhimiza sadaka kutoka kwa waumini matajiri na masikini kwa kisingizio cha kumpa Mungu wakati wao wanaongea na Mungu usiku na mchana hawapi isipokuwa wakristo1: Unasikini ni matokeo ya Laana.
Torati 28 inataja laana za kujitenga na Mungu zote zinauhusiano na umasikini wa kipato. Umasikini wa kipato sio sifa ya ukiroho ni kitu cha kukikataa kwa maneno na vitendo.
2: Umasikini ni matokeo ya Uvivu wa kufikiri na kutenda. Mungu sio mvivu. Ni mchapakazi kwelikweli na Great thinker. Lazima unapomshinda Ibris tabia zako zifanane na za baba yako.
3: Umasikini unapoteza uwezo wako wa kuwasiliana na Mungu. Umasikini wa kipato utapelekea ulaji mbovu. Utakula ili usife, hautakula ili upate afya. Mfumo wako wa fahamu ndio njia anayotumia kuwasiliana na wewe. Sasa ukiwa duni kwa kutokula vizuri, uwezo wako wa kumsikiq Mungu unashuka.
4: Umasikini utakupunguzia uwezo wako wa kuabudu. Masikini hana Muda mwingi wa kuabudu. Muda wote anapambana na maisha. Tajiri wa kipato anaweza kuamua hata kufunga na kuomba week nzima na bado mambo yakaenda wakati masikini akithubutu kufanya hivyo atapoteza ajira, ataua familia na kudhalilika.
Mungu ameweka mfumo wa wao kuendesha maisha yao kupitia zaka na sadaka.Ina maana wainjilisti, wachungaji, mashemasi, mapadre na maaskofu wana laana maana kila siku wako madhabahuni kuhimiza sadaka kutoka kwa waumini matajiri na masikini kwa kisingizio cha kumpa Mungu wakati wao wanaongea na Mungu usiku na mchana hawapi isipokuwa wakristo
Mbinguni wanaingia maskini wa Roho. Watu wanyenyekevu wanaojua wenyewe bila Mungu na msaada wake hawawezi chochote.Masikini hawaendi mbinguni,maana masikini wengi wana roho mbays
Sema neno.Unamfahamu ngamia na sindano lakini?🤔🤔🤔🤔
Mimi sadaka yangu napeleka kwa wajane, yatima, wazee wasiojiweza na wagonjwa, wachungaji and the likes waje tuungane tukawape wenye uhitaji siyo kujilimbikizia maliMungu ameweka mfumo wa wao kuendesha maisha yao kupitia zaka na sadaka.
Tatizo wengi wanahofu na Mungu kiasi kutumia ujanjaujanja kushawishi watu kitoa pesa. Pia wengine kugeuka machawa wa matajiri makanisani.
Mimi naamini ukitoq zaka na sadaka kwa mtumishi au kanisa mnufaikaji ni wewe sio mpokeaji. Mshahara wa Mchungaji hauna takwimu. Pesa anazopokea ni 0.001% ya mshahara wote anaolipwa na Mungu. 99.009 inayobaki anatoa Mungu mwenyewe kwa njia zilweza kupimika kifedha na kitakwimu. Mchungaji kupokea sadaka haimaanishi hawezi kufanya kazi nyingine za kipato. Wakati wa Nehemiah waumini wakiacha kuleta sadaka watumishi wakaacha utumishi wakaingia kwenye ukulima na maisha yalienda hadi Nehemia alipokuja kurekebisha mambo.
Ukiona mchungaji anababishwa na Pesa, hajatumwa na Mungu wala hamjui.