Tatizo sio ccm wala chama chochote cha siasa tatizo n wao kuwa kujiingiza kwenye siasa mbona kuna wasanii kibao walikuwa ukawa wana unafuu gan au hao wote waliokuwa ccm wangekuwa ukawa unahis mambo yangekuwa tofaut think big brooTBC ilipoanza kuegemea CCM ilishuka kwenye ratings sababu hakuna mtu anapenda kusikiliza propaganda za CCM.Bongo movie nao wamejichomeka CCM wasijue wanapunguza idadi ya hadhira wao kwani CCM inapendwa na wachache tu.Si watu wengi wanaopenda kusikia habari za CCM, sasa kuchanganya biashara na siasa ni kujichimbia kaburi.
Ww ndo umeongea hapa suala la ccm au chadema haliwez kupunguza au kuongeza kitu kama hakuna creativity investment and disciplineMkuu alivyoandika vyote nakubaliana navyo isipokuwa kwenye mambo ya siasa. Kama mtu anaigiza vzr hata kama ni mwanachama wa chama Fulani kazi zake zitapeta tu pia kwa wasanii/ waimbaji hata kama ni chama fulani akitoa single kali itapigwa sana na shoo atafanya kama kawaida
Unaweza kuchukulia mf kwa mataifa mengine like US wakati wa kampeni wasanii/ waigizaji hujitokeza kupigia kampeni vyama mbalimbali lakini hawashuki kimapato kwa sababu ya kuonesha kuunga mkono chama fulani.
kuporomoka kwa tasnia ya bongo movie kunatokana na kukosa ubunifu, kutokwenda na wakati, vipaji duni, maadili mabovu ya waigizaji, sheria kandamizi kwa tasnia ya movie, support ndogo ya serikali na wadau mbalimbali, ushindani Mkali kutoka filamu za nje n.k
Hili ni kweli nilimshuhudia mzee majuto na kina baba haji...shida njaaa na muhindi anawaua hawa waigizaji mtu anawaza atoe muvi kwa 10m afu ampeleke muhindi kwa 20 mpk 25m soko inabidi liamue na sio muhindi awaamulie bei wasaniii...mtu anakwambia muv za nishabebe muhindi ananunua 40 mpk 50m unadhani undergrnd mwenye kipaji cha kufiti scene zote atamshinda mlela na hemedphd wazee wa malavidav muvin kwa muhindiSasa mkuu unafananisha Dola M 1 na Milioni 6?
Nimesema hivyo kwasababu msanii atataka kutumia Camera ambazo low quality za bei rahisi ili tu abajetie pesa ndogo aliyoitenga. Matokeo yake unakuja kukuta movie haina rangi nzuri, scene zina cheza cheza n.k
Mkuu, mbona lipo wazi?Kwani mkuu nawewe hiyo digara kubwa unaitumia?
Sijakuelewa. Unaunga mkono ama unabisha?
Kwa wale mnaosema tatizo ni mtaji, Sam Raimi muvi ya kwanza iliyomtoa bajeti ilikua 350,000$ lakini kwa kua alijua soko linataka nini muvi ilirudisha faida.Sasa mkuu unafananisha Dola M 1 na Milioni 6?
Nimesema hivyo kwasababu msanii atataka kutumia Camera ambazo low quality za bei rahisi ili tu abajetie pesa ndogo aliyoitenga. Matokeo yake unakuja kukuta movie haina rangi nzuri, scene zina cheza cheza n.k
Hahahaha.....hapo ukweli mtupu, utaona gari linaendeshwa weeee dkk 6 huku wimbo WA darassa ukipigwa mpaka unaisha, likifika utaambiwa watch out pt2Movie inaanza watu wanakumbatiana na kupelekana gesti wanalala wakitoka wanapanda noah au range rover wanaenda beach wakirud wanakaa kwenye masofa movie inaishia hapo watch out part 2 hivi makonda unamshawishije mtu kununua hizi movie uchwara za kibongo
Makonda ni Waziri Wa Sanaa???Makonda amechukua hatua za kuwasaidia kukuza wasanii wetu kwa kupiga marufuku movies za nje ya nchi
Mimi niko Dodoma. Siwezi kununua movies za kutoka nje ya nchi kwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar amekataza?Makonda amechukua hatua za kuwasaidia kukuza wasanii wetu kwa kupiga marufuku movies za nje ya nchi
Ni zaidi ya waziri mkuuMakonda ni Waziri Wa Sanaa???
Agizo la makonda ni sawa na agizo la waziri mkuu, huweziMimi niko Dodoma. Siwezi kununua movies za kutoka nje ya nchi kwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar amekataza?
fikra zilizo kufa kwenye ubora wake...Makonda amechukua hatua za kuwasaidia kukuza wasanii wetu kwa kupiga marufuku movies za nje ya nchi
Kweli kabisa mkuu, mtaji siyo kikwazo ila ubunifu.Kwa wale mnaosema tatizo ni mtaji, Sam Raimi muvi ya kwanza iliyomtoa bajeti ilikua 350,000$ lakini kwa kua alijua soko linataka nini muvi ilirudisha faida.
Juno bajeti ilikua 350,000$.
Open water bajeti ilikus 500,000$
Friday the 13th bajeti ilikua 500,000$
Halloween bajeti ilikua 350,000$
Na hizo zote zikaja kua blockbusters, hakuna cha kuilaumu bajeti.
Na zingine hapo ni za kipindi ambacho dola haikua imetuacha kama sasa hivi, kilikua kipindi cha ili ujue thamani ya hela yako ni kuongeza 0 mbili mbele.