Ma Mshuza
JF-Expert Member
- Feb 26, 2019
- 207
- 1,122
Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde.
Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe. Kwa kweli napenda mtoto awe na rangi ya mtume.
Kuna raha sana kuwa na mtoto mweupe not black magenta. Ingawa pia napenda wanaume weupe coz ni wasafi na wanajipenda sana. Kuliko black magenta. Ile ya kusema napenda tolu and black. U black ni sababu tu sitaki mwanaume awe mzuri kunizidi.
Mikoa ya kwetu , sisi wanyamwezi tunapenda sana weupe. Hata wanaume weupe tunawapenda sana. Wanavutia wana kuwa mashallah... Rangi ya mtume. Ublack tunauongelea tu in public... Tena ukipata half cast weeeeeh.....
Raha yake acha tu.
Ndo nimeshasema sasa. SIJALI WALA NINI.