Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde.

Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe. Kwa kweli napenda mtoto awe na rangi ya mtume.

Kuna raha sana kuwa na mtoto mweupe not black magenta. Ingawa pia napenda wanaume weupe coz ni wasafi na wanajipenda sana. Kuliko black magenta. Ile ya kusema napenda tolu and black. U black ni sababu tu sitaki mwanaume awe mzuri kunizidi.

Mikoa ya kwetu , sisi wanyamwezi tunapenda sana weupe. Hata wanaume weupe tunawapenda sana. Wanavutia wana kuwa mashallah... Rangi ya mtume. Ublack tunauongelea tu in public... Tena ukipata half cast weeeeeh.....
Raha yake acha tu.

Ndo nimeshasema sasa. SIJALI WALA NINI.
Endelea kuhangaika mwisho utakipata unachokitafuta..!
 
Ogopa Sanaa Hawa viumbe,njoo mi Miguuni mweusi Ulimi mweupe na kichwa Cha machine cheupee.
 
sijaelewa, mara hupendi weupe kwakuwa atakuzidi, unapenda weusi, ila pia inapenda kuzaa na weupe mafaili yamechanganyikana sasa tushike lipi kwenye kupenda kwako maana ndio ulichoamua kutushirikisha
Hawa viumbe uwa hawajui wanataka nini.
 
Hao ndio wanawake, wanapenda wanaume weusi lakini wanapenda wazae watoto rangi ya mtume.
 
Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde.

Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe. Kwa kweli napenda mtoto awe na rangi ya mtume.

Kuna raha sana kuwa na mtoto mweupe not black magenta. Ingawa pia napenda wanaume weupe coz ni wasafi na wanajipenda sana. Kuliko black magenta. Ile ya kusema napenda tolu and black. U black ni sababu tu sitaki mwanaume awe mzuri kunizidi.

Mikoa ya kwetu , sisi wanyamwezi tunapenda sana weupe. Hata wanaume weupe tunawapenda sana. Wanavutia wana kuwa mashallah... Rangi ya mtume. Ublack tunauongelea tu in public... Tena ukipata half cast weeeeeh.....
Raha yake acha tu.

Ndo nimeshasema sasa. SIJALI WALA NINI.
Maombi haya mchanganyiko humchanganya hata Mungu. Hapa ni mtu anataka mvua na jua kwa wakati mmoja.
 
Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde.

Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe. Kwa kweli napenda mtoto awe na rangi ya mtume.

Kuna raha sana kuwa na mtoto mweupe not black magenta. Ingawa pia napenda wanaume weupe coz ni wasafi na wanajipenda sana. Kuliko black magenta. Ile ya kusema napenda tolu and black. U black ni sababu tu sitaki mwanaume awe mzuri kunizidi.

Mikoa ya kwetu , sisi wanyamwezi tunapenda sana weupe. Hata wanaume weupe tunawapenda sana. Wanavutia wana kuwa mashallah... Rangi ya mtume. Ublack tunauongelea tu in public... Tena ukipata half cast weeeeeh.....
Raha yake acha tu.

Ndo nimeshasema sasa. SIJALI WALA NINI.
Huwa nasikia mara kwa mara wanawake wanataka mwanaume mweusi, Kumbe sababu huwa ni ya kipumbavu namna hii!?

My shit!!
 
IMG_2105.png

Wanaume weupe ni kachori
 
mara wa blue,mara wa pink,mara wa dhamarau, mara tall black wanawake wa kiafrica mnatatizo kubwa sana lakutojiamini na sjui kwa sababu kubwa ni nini
 
Back
Top Bottom