Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

Mwanaume ni mwanaume tu jamani haijalishi weupe wala weusi kikubwa michuzi na upendo mengine yanavumilika na kurekebishika😂
 
Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde.

Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe. Kwa kweli napenda mtoto awe na rangi ya mtume.

Kuna raha sana kuwa na mtoto mweupe not black magenta. Ingawa pia napenda wanaume weupe coz ni wasafi na wanajipenda sana. Kuliko black magenta. Ile ya kusema napenda tolu and black. U black ni sababu tu sitaki mwanaume awe mzuri kunizidi.

Mikoa ya kwetu , sisi wanyamwezi tunapenda sana weupe. Hata wanaume weupe tunawapenda sana. Wanavutia wana kuwa mashallah... Rangi ya mtume. Ublack tunauongelea tu in public... Tena ukipata half cast weeeeeh.....
Raha yake acha tu.

Ndo nimeshasema sasa. SIJALI WALA NINI.
Wewe ndio umesema ukweli kabisa na kutoboa siri ya wanawake wote.

Ukweli huu ndio ukweli unaofuchwa na wanawake wengi ila ni kule kujitutumua tu kwamba wanapenda wanaume black.
 
Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde.

Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe. Kwa kweli napenda mtoto awe na rangi ya mtume.

Kuna raha sana kuwa na mtoto mweupe not black magenta. Ingawa pia napenda wanaume weupe coz ni wasafi na wanajipenda sana. Kuliko black magenta. Ile ya kusema napenda tolu and black. U black ni sababu tu sitaki mwanaume awe mzuri kunizidi.

Mikoa ya kwetu , sisi wanyamwezi tunapenda sana weupe. Hata wanaume weupe tunawapenda sana. Wanavutia wana kuwa mashallah... Rangi ya mtume. Ublack tunauongelea tu in public... Tena ukipata half cast weeeeeh.....
Raha yake acha tu.

Ndo nimeshasema sasa. SIJALI WALA NINI.
... 'Ndo nimeshasema sasa. SIJALI WALA NINI'.
We dem mbabe ad nimekupenda, tena kwa neno hilo tu!
 
Sawa Kalunde...😊
 
Attachments

  • IMG-20240618-WA0023.jpg
    IMG-20240618-WA0023.jpg
    24.6 KB · Views: 2
Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde.

Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe. Kwa kweli napenda mtoto awe na rangi ya mtume.

Kuna raha sana kuwa na mtoto mweupe not black magenta. Ingawa pia napenda wanaume weupe coz ni wasafi na wanajipenda sana. Kuliko black magenta. Ile ya kusema napenda tolu and black. U black ni sababu tu sitaki mwanaume awe mzuri kunizidi.

Mikoa ya kwetu , sisi wanyamwezi tunapenda sana weupe. Hata wanaume weupe tunawapenda sana. Wanavutia wana kuwa mashallah... Rangi ya mtume. Ublack tunauongelea tu in public... Tena ukipata half cast weeeeeh.....
Raha yake acha tu.

Ndo nimeshasema sasa. SIJALI WALA NINI.
Wanaume weupe tumefikiwa😀😀
 
Idiot
 
Back
Top Bottom