Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

Ma Mshuza

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
207
Reaction score
1,122
Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde.

Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe. Kwa kweli napenda mtoto awe na rangi ya mtume.

Kuna raha sana kuwa na mtoto mweupe not black magenta. Ingawa pia napenda wanaume weupe coz ni wasafi na wanajipenda sana. Kuliko black magenta. Ile ya kusema napenda tolu and black. U black ni sababu tu sitaki mwanaume awe mzuri kunizidi.

Mikoa ya kwetu , sisi wanyamwezi tunapenda sana weupe. Hata wanaume weupe tunawapenda sana. Wanavutia wana kuwa mashallah... Rangi ya mtume. Ublack tunauongelea tu in public... Tena ukipata half cast weeeeeh.....
Raha yake acha tu.

Ndo nimeshasema sasa. SIJALI WALA NINI.
 
Kama huonekani ukitoka nae vaa reflector.
 
sijaelewa, mara hupendi weupe kwakuwa atakuzidi, unapenda weusi, ila pia inapenda kuzaa na weupe mafaili yamechanganyikana sasa tushike lipi kwenye kupenda kwako maana ndio ulichoamua kutushirikisha
 
Nyie ndiyo kila mwanamke mzuri mnataka awe kama mwarabu? Nyie ndiyo kila mwarabu mnamuona kama yuko karibu zaidi na Mungu kuliko ninyi? Nyie ndiye mnajifanya kusema ''mashallaah'' kila mnapoona kitu kizuri?
 
Afadhali imetuinua,maana kuna uzi walituponda hadi nikaishia tu kusoma comments...
 

Kwahyo mmeghairi pesa mnataka weupe, ngoja kama wakongo
 
Kwa kifupi ni kwamba, atakuwa na mwanaume mweusi ila watoto atazaa na mwengine ambaye ni mwanaume mweupe.
Ukipenda boga, penda na maua yake. Ridhika na mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…