Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Salama.
Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa .
U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good mother? Maisha anayoishi binti unayaona kabisa anaeza asifikishe 30+ na ana mtoto sasa future ya mtoto itakuaje ,wengine wakikutana baa ukiwa hauna mtoto anaonekana mshamba ko kama fashion hivi ,Wengine wanashauriana wazae Mapema ili wafanye uhuni vizuri maana kama mtoto anaye.
Tatizo hili la single mom kwa watoto wadogo linaongezekaa sijajua kama jamii tunafanyaje.