Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Tamaa, Wazazi hawana malezi pia, watoto wengi wamezaliwa na single Maza na wao wamekuwa Masingle Maza tena, ni janga la kitaifaSalama.
Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa .
U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good mother? Maisha anayoishi binti unayaona kabisa anaeza asifikishe 30+ na ana mtoto sasa future ya mtoto itakuaje ,wengine wakikutana baa ukiwa hauna mtoto anaonekana mshamba ko kama fashion hivi ,Wengine wanashauriana wazae Mapema ili wafanye uhuni vizuri maana kama mtoto anaye.
Tatizo hili la single mom kwa watoto wadogo linaongezekaa sijajua kama jamii tunafanyaje.
GenZ nao wanawazalisha hovyo huku hawana kipato, hawana mpango wowote kwenye maisha, watoto wanaishiwa kubwaga kwa mabibi na mababu ambao na wao wamejichokea maisha Kwa kipato duni na uzeeSalama.
Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa .
U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good mother? Maisha anayoishi binti unayaona kabisa anaeza asifikishe 30+ na ana mtoto sasa future ya mtoto itakuaje ,wengine wakikutana baa ukiwa hauna mtoto anaonekana mshamba ko kama fashion hivi ,Wengine wanashauriana wazae Mapema ili wafanye uhuni vizuri maana kama mtoto anaye.
Tatizo hili la single mom kwa watoto wadogo linaongezekaa sijajua kama jamii tunafanyaje.
Mkuu ungesema wanazaa je ya ndoa na siyo wanazaa Mapema, Wanawake wazamani ndiyo walikua wanazaa Mapema tena wao waliolewa mapema walikua wakichelewa sana wanazaa na umri wa Miaka 21.Salama.