USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Trump anaogopa uchaguzi mpuuzi yule
Serikali ya Marekani ya Raisi Donald Trump inatumia corona politics kusingizia nchi zingine kuwa hazifanyi vizuri kuliko yenyewe kulinda image iliyoporomoka ya Serikali ya Trump kuhusu kupambana na Corona!!! kawekeza propaganda za bla bla kwa WHO na nchi zingine kuwa hazifanyi vizuri kama serikali yake kumbe muongo mkubwa!! Anatafuta tu political milage and Americans confidence!!!
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Marekani serikali inatumia case za mataifa ya nje za corona kujitetea kuwa iko vizuri kwenye vita ya Corona!!!! Kwa mara ya kwanza inajilinganisha na nchi kamaa Burundi !!!! kuwa ohhh we doing more than burundi!!!! kujenga political confidence ya ndani ya marekani!!!ha ha ha ha Ohhh we are doing more than Tanzania in the war againist corona !!!!!! ha ha ha ha
Trump anatumia balozi zake kama wapiga filimbi wa hamelini na mashahidi hewa wa kuwa rubuni wamarekani waamini Trump na serikali yake wako vizuri!!! wakiuliza Trump uko vizuri kivipi mbona malaki ya wamarekani corona inawasumbua na wengi wanakufa anasemna ask American ambassadors in Burundi or Tanzania or go to their websites in case their phones are not working because phone facilities their are also worse ,Corona Situation there is worse we are doing more than them!!!!! we are on right track.No country do better than us!!!!