Sababu ya Marekani kupiga yowe kuwa nchi za Afrika zinaficha takwimu za Corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na Corona!

Trump anaogopa uchaguzi mpuuzi yule
 
Kama Tanzania hauna corona ni kwanini Kenya wamekatazwa kutangaza madereva wanaopatikanaena corona kama wanatoka Tanzania?

Si mtu mmoja, waliopimwa Rwanda, Namibia, Uganda na Kenya walikutwa na corona baada ya safari ya Tanzania?
Walikataa ulikuwepo
 
Wao ndio wanamatatizo makubwa
Marekani imejitoa WHO haipeleki takwimu kule imekaa nazo yenyewe kama ni lazima wao mbona hawapeleki na wamejitoa WHO shirika la afya linalosimamia afya duniani
 
Kama Tanzania hauna corona ni kwanini Kenya wamekatazwa kutangaza madereva wanaopatikanaena corona kama wanatoka Tanzania?
Walikuwa wanazusha wakisema ohh madereva 10 wameonekana na corona ukiwaambia tuonyeshe wanaanza kujiuma uma meno ohhh walikuwepo hapa hapa sijui wameenda wapi
ukiwauliza passport namba zao na majina yao si mnayo tupeni wanaanza ohh list hatuioni nadhani itakuwa imeenda na sampuli maabara nairobi

Ndipo serikali ikapanda hasira kufunga mipaka na kuwaambia wakenya mkome kutuchafua ndio wakaja ohh tutakuwa hatutaji mtu anayeumwa corona katokea nchi gani
 
Serikali ya Tanzania inaficha data au haifichi?

Hilo ni suala la msingi na la awali kabisa, la muhimu kwa Mtanzania, bila kujali Mmarekani anafuatilia au hafuatilii.
Juzi tu wametoa wagonjwa nchi nzima walioko hospitalini wenye corona ni wanne tu
 
Juzi tu wametoa wagonjwa nchi nzima walioko hospitalini wenye corona ni wanne tu
Kwa upimaji gani?

Na kwa nini madereva wengi tu wa Tanzania wanapatikana na Coronavirus mipakani wakitaka kuingia nchi jirani wakati namba rasmi za Watanzania wenye virusi hivi haiongezeki?

Kwa nini watu wengi wanakufa mitaani wakiwa na dalili zote za Coronavirus lakini namba rasmi ya Watanzania wenye virusi hivi haiongezeki?

Watanzania wangapi kati ya mamilioni wote wamepimwa mpaka sasa?

Tanzania Says COVID-19 Defeated With Prayer Despite Fears
 
Chuki zako tu
 
WHO marekani wamejitoa sasa wanataka takwimu za nini.Wao wenyewe zao hawapeleki WHO baada ya kujitoa
America amejitoa akianimin kuwa WHO ilichelewa ku respond. Ila si sababu ya takwimu.
And for the record anahitaji takwim si america. Ni taasisi kama CDC.. na WHO.
 
Mkuu unaelekea kusema kwamba Mauaji ya Floyd ni diversion ya failure ya kuhandle corona.
 

Kama hoja yako ingekuwa na mashiko beberu angekuwa anawasema pia Rwanda, Uganda, Namibia, Africa kusini, Kenya, Nigeria, Brazil nk. Kwa nini sisi tu? Hata kujiuliza hamna?

Hebu angalia anaowasema kuwa wanaficha takwimu. Kwani umewasikia hata wenyewe wakithubutu kulikanusha hilo?

Kwa kuona kwako tu, hata wewe mkuu, unadhani Tanzania haifichi takwimu?

Si ndiyo hawa hapa au siyo hawa?

More Tanzanians Test Positive for Coronavirus

Wasema kweli wapenzi wa Mungu. Panga pangua mama Samia ni mmoja wa watu hao. Lakini siyo hawa wengine!
 
Kwa nini watu wengi wanakufa mitaani wakiwa na dalili zote za Coronavirus lakini namba rasmi ya Watanzania wenye virusi hivi haiongezeki?
Mtaa gani huo ambao watu wanakufa kwa corona? mimi mtaani kwangu toka corona ianze hakuna mtu hata mmoja aliyekufa iwe kwa corona au ugonjwa wowote mitaa ipi hiyo tutajie mzushi wewe
 
Marekani ni sawa na kichaa aliyeshika panga mkononi huku akikutishia kukukata usipotii maelekezo yake,

Hivyo hata akikuambia ucheke bila sababu ya wewe kucheka utacheka tu! Ili umfurahishe maana ukimbishia anaweza kukukata au kukufanyia chochote kulingana na hakiri zake zilivyo! Kwahiyo hakuna haja yakumjibu huyo anajibiwa na mungu
Kama hivi corona, maandamano na baadae kisanduku cha kura! Hao akina pompeo hawatakaa hapo kufikia 2021 .
 
Hao ni panya tu wachache kati ya wengi waliokufa unaokumbuka, tembo nao ni wengi mpaka nafasi zao zijazwe na waliotenguliwa Mara kadha kwa kukosa standby wanaofaa. Sisimizi ndo usiseme, wamekuwa wanakufa na kuzikwa na Serkali kimyakimya usiku. Kama wangekuwa wanasema kweli shule zote zingekuwa zimefunguliwa watoto wasome kama nchi zile zilizokuwa kwenye lockdown.
 
Kwanini USA walitoa pesa kwa Tanzania wakijua fika kabisa kuwa hatutoi taarifa?
Hii kitu inanishangaza sana.Waliyataka wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…