Sababu ya Marekani kupiga yowe kuwa nchi za Afrika zinaficha takwimu za Corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na Corona!

Marekani imejitoa WHO haipeleki takwimu kule imekaa nazo yenyewe kama ni lazima wao mbona hawapeleki na wamejitoa WHO shirika la afya linalosimamia afya duniani
Hawatoi WHO,lakini si zipo Public hizo taarifa?Au zimefichwa?
Mbona huwa unajitoa ufahamu kabisa na kujifanya zumbukuku kisa kushabikia CCM??
 
Nonsense.
 
Mtaa gani huo ambao watu wanakufa kwa corona? mimi mtaani kwangu toka corona ianze hakuna mtu hata mmoja aliyekufa iwe kwa corona au ugonjwa wowote mitaa ipi hiyo tutajie mzushi wewe
Kwa hiyo mtaani kwenu watu hawafi kwa ugonjwa wowote ule?
Heko serikali ya awamu ya tano.
You have turned immortals.
 
Possibly they are trying to hide the shame as a big nation for failure to control the pandemic...
 
Acha kujidanganya,yaani Mungu atupende sie zaidi,kuriko USA,au Italy ambapo kuna makao ya kanisa,au Ulaya ambapo "mitume wote" wametoka!?
Mungu sio mbaguzi kiasi hicho,
Unataka kutuambia kwamba,Mungu katuonesha upendo kwenye korona tu,mbona kwenye majanga mengine,hatukuona huo upendo,Ebola,Njaa,msfuriko,umaskini,
 
Hilo la mitaa unaenda mbali sana. Tuambie tu kwanza kwenye ukoo wako umepoteza wangapi. Utakacho ona itoshe tu kujua na kwenye koo za wenzako pia hali ni kama hiyo.
 
Serikali ya Tanzania inaficha data au haifichi?

Hilo ni suala la msingi na la awali kabisa, la muhimu kwa Mtanzania, bila kujali Mmarekani anafuatilia au hafuatilii.
Ukipewa data zitakusaidia nini
 
Noma sana waongo Sana hawa
 
Kigagula wewe usiyeamini kama mungu yupo
 
America amejitoa akianimin kuwa WHO ilichelewa ku respond. Ila si sababu ya takwimu.
And for the record anahitaji takwim si america. Ni taasisi kama CDC.. na WHO.
Sisi wametuletea vifaa vibovu na tulipo waambia kuwa ni vibovu wakakataa halafu baadae wakakubali
 
Kuna korona huko nao wanaficha takwimu sana tu
 
Hata mimi
Mtaa gani huo ambao watu wanakufa kwa corona? mimi mtaani kwangu toka corona ianze hakuna mtu hata mmoja aliyekufa iwe kwa corona au ugonjwa wowote mitaa ipi hiyo tutajie mzushi wewe
 
Hawatoi WHO,lakini si zipo Public hizo taarifa?Au zimefichwa?
Mbona huwa unajitoa ufahamu kabisa na kujifanya zumbukuku kisa kushabikia CCM??
Ccm ni chama imara sana
 
Kwani maambukizi duniani ni sawa hata Canada na U.S. hakuna usawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…