Sababu ya Marekani kupiga yowe kuwa nchi za Afrika zinaficha takwimu za Corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na Corona!

Kwa kifupi nchi zote zenye mabavu kwa wananchi wao huu ndio mwa wao wa mwisho kunyanyasa raia
 
Kabisa kabisa, US of A anadhani anajuwa kila kitu, aje afundishwe kupiga nyungu na kunywa dawa zetu za asilia...
 
Hakuna sababu yoyote mwananchi wa kawaida asiye na maslahi binafsi kwenye hili kutaka taarifa zisitangazwe. Kwa mwananchi aidha hajali kuhusu hizi namba, au mwenye uelewa kidogo na mambo, atake kuzijua kuelewa tatizo.
Vinginevyo ni propaganda machinery tu iko kazini
 
Sijakuelewa!!!
 

Tunatengwa na nani? Yaani mtu una akili bado zma hizi unawaza kutengwa, kwa ugonjwa ambao hauna mjanja,
Wavulana siku hizi hamtumii akiri,
Nawaangalia tu,
Eti tutatengwa ? Na nani huyo atutenge sasa,
Hivi unaweza mtenga mtu anayetembea wakati wewe ndo kilema?
Hao malekani mpaka siku ugongwa unaisha kwao sisi tutakuwa tulishasahau kama upo.
 
Malekani ndio wapi?
 
Hawa mabeberu hawana akili...(typing testing after removing auto correction)
 
Unajua kuwa USA wenyewe wame fabricate taarifa?
Kuna majimbo wanasiasa walilazimisha data ziwe low.
Trump alilalamikia data zinaongezwa ovyo ili kumwangusha kisiasa.
WHO na mateka wa kibongo hawaoni kuwa hilo ni tatizo.

Reporting delays and political pressure contribute to the CDC's incomplete picture of COVID-19
 
Hivi ninavyoongea kuna dada anazikwa Moshi. Haipiti wiki bila kusikia msiba wa Covid-19.

Watu wengine wanajifunga macho na masikio kwa cognitive dissonance tu.
Ndio Covid 19 ipo. Kwa rate yako ya kusikia mtu mmoja kwa wiki si nzuri lakini sio kiama kama wengi wanavyotaka tuamini. Tuendelee kuchukua tahadhari.
 
Hiyo Covid imeenda likizo wakati huu wa maandamano huko USA? Sheria ya lockdown imeisha lini hadi watu wanaandamana barabarani bila mask wala kuzingatia maelekezo ya kujikinga na Corona?

Wale waandamanaji wote si watakufa au kuongeza idadi ya maambukizi?

Hili gonjwa bado jipya wataalam wenyewe wanajifunza bado ndio maana kila siku wanatoa maelekezo na miongozo mipya.
 
Serikali ya Tanzania inaficha data au haifichi?

Hilo ni suala la msingi na la awali kabisa, la muhimu kwa Mtanzania, bila kujali Mmarekani anafuatilia au hafuatilii.
Korona ni uhuni wa mabeberu kupitia WHO ilikutugandamiza nchi za Africa,ugonjwa huu upo na tunaishi nao hata kabla ya kupewa promo.
 
badala ya kupambana na sisi, watatue matatizo yao ya racism, and injustice
 
US hawana jipya.Mabaya yao walioitabiria Africa kwa Corono yamewageukia wao.Jinga kabisa
 
Hawajui ukubwa Jalala wao walitaka wawe juu kwa Mazuri tu
 

Sababu ya ajabu sana hii umeitoa.

Eti sababu wao wana idadi kubwa,of which wao binafsi wanasema bado idadi yao kuna errors za kuhesabu ni even bigger...

Wangekua wanataka kua na idadi ndogo wangeficha data kama sisi!

Marekani sio wajinga waje kupambana na ki-Tanzania kwa idadi ya wagonjwa..thats nonsensical...

Kwanza wao population yao ni mara 8 ya Tanzania,in no way idadi ya wagonjwa ikawa remotely close.

Labda idadi ya USA ipambane na ya China,Indonesia,India,etc sio Tanzania.

Sijui kwanini nchi za hovyo shitholes zinapenda kuficha data,any type of data...sijui kwanini

Nchi bora zote data zipo online,sasa sijui wao hawaogopi nini na akina bwana bure wanaogopaga nini?

Full of shyt!
 
Korona ni uhuni wa mabeberu kupitia WHO ilikutugandamiza nchi za Africa,ugonjwa huu upo na tunaishi nao hata kabla ya kupewa promo.
Mabeberu gani? Hao wanaoikamilishia nchi yako bajeti?
 
Ndio Covid 19 ipo. Kwa rate yako ya kusikia mtu mmoja kwa wiki si nzuri lakini sio kiama kama wengi wanavyotaka tuamini. Tuendelee kuchukua tahadhari.
Sasa hata kama anakufa mtu mmoja kwa wiki (kitu ambacho si ukweli, wanakufa watu wengi zaidi). Kwa nini serikali haitangazi namba za wagonjwa kuongezeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…