Sababu ya Siasa: Biashara Kariakoo zinakufa kisa kuwapenda na kuwakumbatia machinga

Sababu ya Siasa: Biashara Kariakoo zinakufa kisa kuwapenda na kuwakumbatia machinga

Hakuna nchi inayokusanya kodi bila kuweka mazingira mazuri ya kufanya biashara. kwa sasa kwenda Kariakoo unafikiri mara mbili hakuna hata sehemu ya kupitisha mzigo ikishaununua...
JPM aliwahi kuwaambia machinga wafanye biashara popote, hata mbele ya ofisi ya RC & DC mradi kuna wateja. Nani wa kutengua hilo?
 
Wakifukuzwa, zitapanda nyuzi hapa kama mvua.." Machinga wanyanyaswa kama mbwa kariakoo"
Yani hamueleweki nini shida yenu.
Any way
Tatizo lako ni kuwa umesoma kichwa cha habari tu na kukimbiia kutoa mapovu yako. soma habari yote ukiwa umetulia ndugu
 
Hata TRA wanawasumbua wafanyabiashara wenye maduka mno wakati wanajua wanapata hasara kubwa kwa kuudha bidhaa chini ya bei halisi angalau wapate chochote kwani machinga wameharibu bei
Watu wana mikopo kutoka fiancial institutions/banks etc, biashara haziendi, TRA wanataka mapato ya malimbikizo ya nyuma, mfanyabiashara hana ujanja, juzi mmoja amejipiga risasi ya kichwa hapo kibangu.

Big stress. TRA inataka kodi, OSHA wanataka pesa, fire wanataka pesa, MDFA wanataka pesa, TBS wanataka pesa, Jiji wanataka pesa..... kwa mazingira gani ta biashara?
 
JPM aliwahi kuwaambia machinga wafanye biashara popote, hata mbele ya ofisi ya RC & DC mradi kuna wateja. Nani wa kutengua hilo?
Hapo ndio kwenye tatizo, nani wa kumvisha paka kengele kupingana na kauli ya mkuu wa nchi? nafikiri wasaidizi km wapo humu jfm wanatakiwa kumsaidiea kwa kumpa taarifa jinsi mambo yanavyoendelea huko kkoo na sehemu nyingine, kwa sababu hawezi kufika huko.
 
Upuuzi mtupu.

Wamachinga sio watanzania? Au ulitaka wakafanye biashara wapi?
 
Juzi nilipita mnazi mmoja nimekuta nyomi la machinga barabaran balaa Yan ukizubaa kidogo pale unagonga
 
Wakifukuzwa, zitapanda nyuzi hapa kama mvua.." Machinga wanyanyaswa kama mbwa kariakoo"
Yani hamueleweki nini shida yenu.
Any way
Wawekewe utaratibu mzuri.
Siyo kama sasa.
Hali ni mbaya sana.
 
Upuuzi mtupu.

Wamachinga sio watanzania? Au ulitaka wakafanye biashara wapi?
Waweke utaratibu mzuri.
Mahali pa kupanga biashara na mitaa ipi.
Hali ya sasa ni mabaya sana, tusifanye siasa kwenye hili jambo.
 
Back
Top Bottom