Kuna shida kubwa Kkoo hata maambukizi ya TB, vikohozi, mafua, UTI ni makubwa ingawa sasa corona imeanza tena yafaa Kkoo imulikwe kwa jicho la tatuSikuhizi hata kwenda huwa sitaki. Msongamano mkubwa sana kila sehemu wameweka bidhaa.
JPM aliwahi kuwaambia machinga wafanye biashara popote, hata mbele ya ofisi ya RC & DC mradi kuna wateja. Nani wa kutengua hilo?Hakuna nchi inayokusanya kodi bila kuweka mazingira mazuri ya kufanya biashara. kwa sasa kwenda Kariakoo unafikiri mara mbili hakuna hata sehemu ya kupitisha mzigo ikishaununua...
Tatizo lako ni kuwa umesoma kichwa cha habari tu na kukimbiia kutoa mapovu yako. soma habari yote ukiwa umetulia nduguWakifukuzwa, zitapanda nyuzi hapa kama mvua.." Machinga wanyanyaswa kama mbwa kariakoo"
Yani hamueleweki nini shida yenu.
Any way
Nini lengo lako kuu hasa??🤔🤔Tatizo lako ni kuwa umesoma kichwa cha habari tu na kukimbiia kutoa mapovu yako. soma habari yote ukiwa umetulia ndugu
Watu wana mikopo kutoka fiancial institutions/banks etc, biashara haziendi, TRA wanataka mapato ya malimbikizo ya nyuma, mfanyabiashara hana ujanja, juzi mmoja amejipiga risasi ya kichwa hapo kibangu.Hata TRA wanawasumbua wafanyabiashara wenye maduka mno wakati wanajua wanapata hasara kubwa kwa kuudha bidhaa chini ya bei halisi angalau wapate chochote kwani machinga wameharibu bei
Funga duka chonga meza...uzia mzigo wako mezani nje ya duka lako kama mmachingamhhhhh
Hapo ndio kwenye tatizo, nani wa kumvisha paka kengele kupingana na kauli ya mkuu wa nchi? nafikiri wasaidizi km wapo humu jfm wanatakiwa kumsaidiea kwa kumpa taarifa jinsi mambo yanavyoendelea huko kkoo na sehemu nyingine, kwa sababu hawezi kufika huko.JPM aliwahi kuwaambia machinga wafanye biashara popote, hata mbele ya ofisi ya RC & DC mradi kuna wateja. Nani wa kutengua hilo?
Wawekewe utaratibu mzuri.Wakifukuzwa, zitapanda nyuzi hapa kama mvua.." Machinga wanyanyaswa kama mbwa kariakoo"
Yani hamueleweki nini shida yenu.
Any way
Waweke utaratibu mzuri.Upuuzi mtupu.
Wamachinga sio watanzania? Au ulitaka wakafanye biashara wapi?
Moja kati ya wachangiaji bora kabsa mwaka huu 2020Wawekewe utaratibu mzuri.
Siyo kama sasa.
Hali ni mbaya sana.
Jibu swali wamachinga sio watanzania?Waweke utaratibu mzuri.
Mahali pa kupanga biashara na mitaa ipi.
Hali ya sasa ni mabaya sana, tusifanye siasa kwenye hiki jambo.