Sababu ya Siasa: Biashara Kariakoo zinakufa kisa kuwapenda na kuwakumbatia machinga

Yes, na ukiuzia nje hakuna EFD receipts. Ngoja nitafute vijana km 5 hivi niwe nawapa mzigo asubuhi jioni mahesabu. vita na giant inatakiwa akili.
Kabisa yani, ndio wajanja hufanya hivyo.
 
Tatizo siyo wafanyabishara tu, serikali inakosa mapato mengi sana. kwa mtu mwenye akili ndogo anaweza kuona km tunawaonea wivu. wamachinga wakiwekewa utaratibu mzuri wanasadia mzunguko kwa wafanyabiashara wakubwa. lkn ilivyo sasa hata wafanyabiashara kutoka nchi jirani hawawezi kufunga mzigo. Naweza kufanya hujuma kwa kuwapa wamachinga mizigo wakauza chini ambako sitakuwa natoa hata EFD receipts. nani anakosa mapato.
 
Yaani mazingira yake kwa kweli yanasikitisha ukienda na mtoto anaweza kufia mgongoni.
 
lengo lango ni kuwa uwe unasoma post yote na kuielewa kabla ya kutoa mapovu, maana unapotoa mapofu kabla ya kusoma unajidhalilisha wewe na wanaccm wenzako
Tafadhali,rudia kusoma hiki ulichokiandika hapa,then unifafanulie
 
Jiulize mmachinga amepata wapi hiyo suruali !? Anaenda China?
 
Tafadhali,rudia kusoma hiki ulichokiandika hapa,then unifafanulie
narudia tena "uwe unasoma post yote na kuielewa kabla ya kutoa mapovu, maana unapotoa mapofu kabla ya kusoma unajidhalilisha wewe na wanaccm wenzako" sina ufafanuzi zaidi ya huo
 
narudia tena "uwe unasoma post yote na kuielewa kabla ya kutoa mapovu, maana unapotoa mapofu [/COLOR=red]kabla ya kusoma unajidhalilisha wewe na wanaccm wenzako" sina ufafanuzi zaidi ya huo
 
vipi umeshataga tayari kwenye mabanda yenu hapo ufipa au unasubiri kupandwa??
 
Watolewe tu Kwakweli wamekua kero..
 
Sehemu ambapo kuna maduka kama Kariakoo machinga wa kazi gani? Wangetolewa wote hapo Kariakoo. Wakakae barabarani na kwenye vituo vya mabasi.
Nakuhakikishia machinga wakiondolewa kariakooo wakabaki wenye maduka tu,mwezi hauishi frem zote zitafungwa.
 
machinga complex na sehe zingine wametengewa hawati kwenda wanataka kwenda kariakoo
 
Ndio Nyerere alikataa Msukuma kuwa Rais.Miji yote imekuwa maguli😵vyo kabisa huyu jamaa.
 
Hili bomu ni hatari sana huko tuendako kwani sasa wameshaona ni haki yao kufanya biashara popote pale wanapotaka hata katikati ya barabara. Raisi ajae atakuwa na wakati mgumu sana kuja kuweka utawala wa nidhamu na kurudisha mpangilio wa awali.
Barabara zimewekwa lami kwa gharama kubwa lakini zinapangwa nyanya na vitunguu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…