Katika vitu vilivyotukwaza wanacdm wengi ni huo muungano wa vyama. 2015 cdm ilikuwa inajimudu bila muungano na chama chochote. Hata kujiunga walijiunga kama fashion tu na haikuwa lazima sana. Na kitendo cha kutokuungana hivi sasa, na ile mijizee miwili ya ccm Lowassa na Sumaye kurudi huko huko chama chakavu kumetupa faraja sana. Kwa mfano sasa hivi cdm wangekosea kisha wajiunge na Membe ingetukera vibaya sana. Hivyo vyama vilivyojiunga na ccm ni bora viendeleze muungano wao na ccm, maana vitapewa chochote. Cdm haihitaji kujiunga na mchepuko wowote wa ccm, maana ina mtaji wa kutosha wa watu.