Baada ya kudhulumu ruzuku zao ndio mnakuja na matusiUzushi tuu kwann hoja ije wakati huu, wewe ni nani katika ukawa? ok tusrme ni kweli ni chama gani cha kuungana cdm ? ACT, CUF au CHAUMA ? wana nin cha kuunganisha? kwa ufupi wote hao wanaitaka cdm iwabebe na baada ya hapo wanaunga juhudi.
Huu uchaguzi uko pande mbili kwa Chadema
Chadema makao makuu wanatafuta ruzuku mgombea wao wa kuwawezesha ruzuku kupatikana ni Tundu Lisu ndio maana anatumia pesa za makao makuu kuendesha kampeni akikodiwa ndege helikopta nk
Majimboni wagombea ni wabunge na madiwani hao ni kama wagombea binafsi pesa ya ruzuku ya makao makuu ya Chadema haiendi kwao kuwasaidia kukodi hata baiskeli sababu wao sio wagombea wa kusaka ruzuku wa makao makuu
Majimboni na wilayani wa Chadema kuna faida gani kupambana Lisu apate kura nyingi ruzuku iwe kubwa wakati pesa za ruzuku haziendi mikoani wala wilayani zinaishia makao makuu tuUko sahihi kabisa, unapata ruzuku bila kura?
Lini amelia?Kumwambua Lisu anayelia lia kutaka vhama vingine vya upinzani vimuunge mkono
Hivi hujui Lowassa aliingia Chadema kwa mabilioni ya fedha zake?Katika vitu vilivyotukwaza wanacdm wengi ni huo muungano wa vyama. 2015 cdm ilikuwa inajimudu bila muungano na chama chochote. Hata kujiunga walijiunga kama fashion tu na haikuwa lazima sana. Na kitendo cha kutokuungana hivi sasa, na ile mijizee miwili ya ccm Lowassa na Sumaye kurudi huko huko chama chakavu kumetupa faraja sana. Kwa mfano sasa hivi cdm wangekosea kisha wajiunge na Membe ingetukera vibaya sana. Hivyo vyama vilivyojiunga na ccm ni bora viendeleze muungano wao na ccm, maana vitapewa chochote. Cdm haihitaji kujiunga na mchepuko wowote wa ccm, maana ina mtaji wa kutosha wa watu.
Majimboni na wilayani wa Chadema kuna faida gani kupambana Lisu apate kura nyingi ruzuku iwe kubwa wakati pesa za ruzuku haziendi mikoani wala wilayani zinaishia makao makuu tu
Ndio maana niwashauri wawapigie wabunge na madiwani huyu msaka ruzuku Lisu waachane naye sababu ikipatikana haiendi mikoa yao wala wilaya zao
Hivi hujui Lowassa aliingia Chadema kwa mabilioni ya fedha zake?
Je hujui Lowassa alijipigia kampeni yeye kwa mabilioni yake na marafiki zake.
Nimekuwa nikisikia wapinzani wanamatusi kwenye kampeni zao lkn matusi yenyewe hayatajwi, kumbe haya ndio matusi !! umenitoa tongotongo mwanawani.Baada ya kudhulumu ruzuku zao ndio mnakuja na matusi