Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani sio kwa ajili ya waislamu tu. Ni kwa ajili ya wanadamu wote. Na hizi hapa ndio sababu zangu.

Kwanza awali ya yote kwa wewe usio fahamu leo nakuelekeza Jambo moja utakuja kunishukuru baadae.

Moon Calendar "kalenda ya Mwezi" ndio kalenda iliyo sahihi... Hata Masonic calendar Ina comply na moon calendar kwa asilimia Mia moja.

Achana na Gregorian Calendar cause it is a fraud.

Haya sasa turudi kwenye mada yetu..

Dunia inatawaliwa na nature. Mungu anaitawala dunia kupitia nature.

Na binadamu ndio the most advanced part of the nature.

Kwa maana nyingine binadamu wewe ni sehemu ya nature ambayo inajitambua kwamba Ina exist.

Kama.ni simu " smart phone" Sasa iwe inajitambua kwamba Mimi.ni.smart phone nimetengenezwa na binadamu kwa mfano wake na kazi yangu kwa.binadamu ni moja mbili tatu.

Ndio maana Mungu alipo maliza kumuumba binadamu siku ya saba alipumzika kwa sababu alijua ametengeneza kitu kikamilifu ambacho kitamsaidia kuitawala nature.

Ili mchukua Mwenyezi Mungu miaka elfu moja kukamilisha kazi ya kumuumba mwanadamu.

Ni hivi Mungu haku iumba dunia kwa siku sita kama tunavyo aminishwa. Mungu ali fanya uumbaji kwa nyakati sita. Kila nyakati moja ilikuwa Ni sawa sawa na miaka elfu moja ya binadamu. Siku moja kwa Mungu Ni sawa na.miaka.elfu moja kwa binadamu.

Binadamu Ni nature na ametoka kwenye nature na kwenye nature ndipo atakapo rejea. Roho itarudi kwa Mungu ambae ndio source of nature na mwili utarudi kwenye mavumbi ya ardhi ambako ndiko ulipo twaliwa.

Nature ipo inter connected. We are one with each and everything. Hakuna chochote kilichoko katika ulimwengu huu ambacho hakipo ndani ya constitution ya mwili wa binadamu.

Katika dunia hii ukitaka kufanikiwa katika Jambo lolote lile Liwe Jambo la kiroho au ambalo sio Jambo la kiroho Ni lazima uwe master wa nature.

Ndani ya nature Kuna Kila kitu. Wenzetu wazungu wanalijua hilo ndio maana wanathamini sana nature. Vitu vyote vya msingi katika maisha yao wame vigundua kwa kutazama nature.

NI LINI ULIJUA KWAMBA MTU ALIE VUMBUA SINDANO ALI MSTUDY NYUKI? KWAMBA NYUKI AKI KUUMA HIYO NI SINDANO YA ASILI AMBAYO INA FAIDA KUBWA NDANI YA MWILI WAKO KULIKO CHANJO YA AINA YOYOTE ILE?

Ndio maana baadhi ya wazungu huwa wanakuja bongo ili wapate fursa ya walau kudungwa na NYUKI angalau mara.moja Kila baada ya miaka mitatu. ( Angalizo kama.na wewe unataka kugongwa na nyuki make sure haiwi nyuki wengi kwa sababu wakiwa nyuki wengi inageuka na.kuwa sumu ambayo inaweza kukuua..)

So ni lazima kujua nature inataka ufanye Nini wakati gani. Unaweza kujua Jambo Hili Kama una mahusiano mazuri na nature ama Kama unaijua nature , unaweza ku communicate na nature.

Sasa namalizia kwa kukushauri jambo ambalo litakusaidia sana katika maisha yako..

Ukitaka kujua nature inataka ufanye Nini wakati gani Basi wewe tazama.ni vitu gani ambavyo nature inavi produce kwa wingi wakati.huo. Kwa mfano KAMA TUPO KWENYE MSIMU WA MANANASI BASI JUA KWAMBA NATURE INATAKA.WEWE ULE MANANASI KWA WINGI WAKATI HUO..NATURE INAPELEKA UJUMBE KWAKO KWAMBA KATIKA KIPINDI HICHO CHA MSIMU WA MANANASI NDIO MWILI WAKO UNAHITAJI ZAIDI VIRUTUBISHO VITOKANAVYO NA MANANASI... UKIZINGATIA CONCEPT HII YA KULA KWA WINGI MATUNDA ETC KATIKA KIPINDI CHA MSIMU WA MATUNDA HAYO BASI KUUGUA WEWE UTAKUSIKIA KWA WATU TU KWA SABABU UTAKUWA COMPARTIBLE WITH NATURE.

Ni sawa na mtu anaepanda mahindi wakati.wa kiangazi vs mtu anae panda mahindi wakati wa mvua.. anaepanda wakati wa mvua obviously atakuwa favoured by nature. Namaanisha hivi Mimi ninaekula MANANASI kwa wingi wakati wa MSIMU wa mananasi benefits nitakazo zipata ndani ya mwili wangu ni KUBWA Mara Mia yako wewe ambae utakula mananasi katika KIPINDI ambacho si MSIMU wa mananasi kwa sababu wewe unakula tunda Hilo katika KIPINDI ambacho mwili wako hau hitaji mananasi. NDIO MAANA UNAWEZA KUKUTA TUNDA FULANI LINATIBU MARADHI FULANI. MWENZAKO ALITUMIA AKAPONA WEWE UNATUMIA HUPONI, SABABU INAWEZA KUWA NI HII KWAMBA WAKATI YEYE ANATUMIA MMEA HUO AU MTI HUO ILIKUWA NI KIPINDI CHA MSIMU WA MMEA AU MTI.HUO.

Ukitaka kujua nature inataka ufanye Nini wakati huo Basi wewe angalia nature Ina manifest Jambo gani wakati huo. Kwa mfano mvua imekukuta barabarani unatembea basi hapo nature inataka utafute mahali ujibanze etc.

Nature ni kama kinyesi huwezi kuzuia nguvu yake KWAKO

BACK TO MWEZI WA RAMADHANI.

Prophet Muhammad Peace Be Upon Him was introduced to Islam by Arch Angel Gabriel. Arch Angel Gabriel atakuwa anaijua nature vizuri kuliko Mimi na wewe. Malaika Jibril.ni.mmoja Kati ya malaika watatu wakuu ambao wanafanya kazi na Mwenyezi Mungu kwa ukaribu. Kama wangekuwa Ni mawaziri Basi Hawa wangekuwa Ni mawaziri wa nchi katika ofisi ya Rais. Walikuwepo wakati dunia inaumbwa..wanaijuia nature vizuri. So Jibril anaposema kwamba Ni muhimu kwa mwanadamu kufunga Kila ifikapo Mwezi wa Ramadhani ana maanisha kwamba KATIKA.KIPINDI CHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NDIO MWILI WAKO UNAKUHITAJI WEWE KUFUNGA. U WILL REAP A LOT OF HEALTHIER BENEFITS KWA KUFUNGA NDANI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KULIKO KIPINDI KINGINE CHOCHOTE KILE
 
Wakatoliki tuna sala ya kusujudu ardhi, hii sala walifundishwa watoto watatu wa Fatima na Malaika. Aliwaambia hivi ndivyo Mungu anapenda kuabudiwa. Unatazama kule jua linakochomozea na kusujudu ukisema “Mungu wangu ninakuamini, ninakuabudu na ninakutukuza. Ninawaombea msamaha wale wote wasiokuamini, wasiokuabudu na wasiokutukuza. Unarudia mara tatu.
 
Wakatoliki tuna sala ya kusujudu ardhi, hii sala walifundishwa watoto watatu wa Fatima na Malaika. Aliwaambia hivi ndivyo Mungu anapenda kuabudiwa. Unatazama kule jua linakochomozea na kusujudu ukisema “Mungu wangu ninakuamini, ninakuabudu na ninakutukuza. Ninawaombea msamaha wale wote wasiokuamini, wasiokuabudu na wasiokutukuza. Unarudia mara tatu.
Sisi Wana wa dunia tukumbuke maneno aliyo sema.Bikira Maria......
 
Aliumba dunia kwa siku 6. Halafu hapa unasema kwa nyakati 6. Hapa km mechakachua vile.
Shida ya bwana yule alikuwa hajui kusoma na kuandika. Ndiyo tatizo linaanzia hapo
Watu wanatumia Gregorian Calender. Na si nyingine
Siku moja kwa Mungu Ni sawa na miaka elfu moja kwa binadamu..Gregorian Calendar is a fraud mkuu
 
Kama ni fraud. Kwann kwenye shule zenu hamtumii hiyo Moon Calender?
Kwenye simu yako, set tarehe, mwezi na mwaka wa hiyo moon calender. Watu wakikuuliza tarehe, mwezi au mwaka wajibu wa hiyo moon calender.
Kama una watoto waambie nao watumie calender ya moon calender.
Lete matokeo hapa.
Siku moja kwa Mungu Ni sawa na miaka elfu moja kwa binadamu..Gregorian Calendar is a fraud mkuu
 
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo kweli na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi tupu tu za kiimani.
Kiranga,

Thibitisha kwamba hakuna Mungu.

Thibitisha kwamba unao uwezo mkubwa wa kuweza kuyaongoza maisha yako bila utegemeo wa El-Shaddai?

Kwamba unajua utakufa lini? Ukifa utaelekea wapi? Kwa nini ufe? Ulikua wapi kabla ya kuzaliwa?

Kama unashindwa hata kujua kesho yako itakuaje.. nini kinakupa uhakika kwamba Mungu hayupo?
 
Back
Top Bottom