Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Mungu anahitaji kusaidiwa na mitume?Haya ndiyo matatizo ya kujadili jambo ambalo huna elimu nalo. Mola wetu hajifichi ndiyo maana alituma mitume kuwasilisha ujumbe,hu ni utaratibu kama ulivyo utaratibu wako uliojiwekea katika uendeshaji wa mambo,ila tofauti yangu na wewe sisi taratibu zetu huwa zinabadilika ila taratibu za Mola wetu hazibadiliki sababu ni sahihi. Mola wetu haonekani hapa tu duniani,ila wale waja wema watakao faulu watalipwa pepo na ziada,ile ziada ni watamuona Mola wao kama vile tuonavyo jua la Saa sita mchana,yaani hiyo siku hakutakuwa na yale mambo ya "Ooh embo sogea na mimi nimuone".
Na hii ni muongoni mwa sababu kwanini Mola wetu ni mjuzi wa yote mwenye nguvu,mwenye huruma,mwenye upendom
Kwani kashindwa kutupa ujumbe mwenyewe moja kwa moja tumuelewe kwa njia ambayo haina utata yupo?