Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

Jibu maswali niliyo kuuliza.

Hivi unajisikiaje kutokujibu maswali unayo ulizwa ?
Unauliza maswali kuhusu vitabu wakati mimi nimeupangua msingi wa maswali yako, kama nimesoma au sijasoma vitabu, nimekuonesha kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kutumia vitabu wakati kuna mamilioni ya watu hawajui kusoma na hawajawahi kukiona hicho kitabu chake haiyumkiniki.

Kwa kukujibu tu, nakujibu hapa chini, na wewe nataka unijibu maswali haya haya kuhusu Quantum Physics, uweke ushahidi wa picha kama nilivyoweka mimi.

Umeandika:

1. Ulichukua hatua gani pindi ulipo ona hilo bandiko ulilo copy na kupaste hapa ? Au logic inakufundisha uwe kama sponchi kuchukua chukua mambo mitandaoni bila kuyafanyia utafiti ?

Nakujibu:

Hayo mambo nimeyasoma kabla ya hilo bandiko na nimejua kwamba Quran ni kitabu kilichojaa ujinga na contradictions kabla ya ku post hayo maneno.

Umeandika:

2. Unajua kusoma Qur'aan ?

Nakujibu:

Najua kusoma, imejaa uongo na ujinga, na hata ukisema sijui kusoma, hilo pia litaonesha Quran si kitabu cha Mungu. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote atashushaje kitabu ambacho viumbe wake hawajui kukisoma?

Umeandika:

3. Kuna kitabu chochote cha Tafsiri ya Qur'aan umewahi kukisoma na kama umewahi kukisoma ni kipi ? Je hukuona maelezo na bayana juu ya aya hizo ulizo paste unazo dai zinaonyesha "Contradictions" ?

Nakujibu:

Nimeisoma Quran, nimesoma hadithi, nimesoma "The Meaning of The Holy Quran" cha tafsiri ya Abdullah Yusuf Ali, nimesoma "Muhammad: His Life Based on The Earliest Sources" cha Martin Lings, naambatanisha picha hapa zikiwa na alama ya karatasi iliyoandikwa "Kiranga" ujue hivi ni vitabu ninavyo si picha za kuokota mtandaoni.

Vitabu vyote hivi ninavyozidi kusoma ndivyo ninavyozidi kuona contradictions na kuona Quran ni kitabu kilichojaa uongo ulioandikwa na watu, kimejaa contradictions.

Na wewe umesoma kitabu gani cha Quantum Physics? Unaweza kuweka ushahidi wa picha kama ninaoweka mimi?

Umeandika:

4. Kama majibu ya maswali hayo matatu hapo juu huna,je unaweza ni kwa sababu gani mimi niendelee kujadiliana na wewe juu ya kadhia na kwa sababu gani mimi nisikuite wewe mjinga tena MPUMBAVU usiye jua kama hujui na hujui kama hujui huku ukidhani unajua ?

Nakujibu:

Kwa nini umefikiri majibu ya maswali ya hapo juu sina?

N amimi kama huna majibu ya maswali hayo hayo kuhusu kitabu cha Quantum Physics, kwa sababu gani nisikuite wewe mjinga na mpumbavu unayeamini kitabu cha dini kilichojaa contradictions?

Umeandika:
Tumalize nukta hii kisha twende nyingine.

Umejuaje tutaweza kwenda nyingine kabla sijakujibu maswali ambayo yana masharti ya kuvunja mazungumzo na wewe kuniita mimi mjinga?

Na mimi nimekupa sharti la wewe kuweka kitabu cha Quantum Physics ulichosoma tujadili, ukishindwa nikuone mjinga niseme huwezi kujadiliana nami, sasa unaweza kuweka hapa ushahidi kwamba umesoma kitabu cha Quantum Physics nisikuite mjinga tuendelee na majadiliano?

Q1.jpg

Q2.jpg
 
Unauliza maswali kuhusu vitabu wakati mimi nimeupangua msingi wa maswali yako, kama nimesoma au sijasoma vitabu, nimekuonesha kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kutumia vitabu wakati kuna mamilioni ya watu hawajui kusoma na hawajawahi kukiona hicho kitabu chake haiyumkiniki.
Safi kabisa,ujinga mzigo sana. Huwezi kuuvunja huu msingi sababu mpaka wale ambao hawakufikiwa na ujumbe wana kundi lao,achilia mbali wasio jua kusoma. Kwani kuna mtu aliyezaliwa anajua kusoma ? Mbona unajenga hoja kitoto sana ?

Huu msingi huwezi kuuvunja.
Kwa kukujibu tu, nakujibu hapa chini, na wewe nataka unijibu maswali haya haya kuhusu Quantum Physics, uweke ushahidi wa picha kama nilivyoweka mimi.
Nimecheka sana,ndiyo maana huwa nataka muwe mnajibu maswali sababu nyinyi weupe sana. Suala la Quantum Physics linaingiaje ? Sababu hili msingi wake ni dhana za watu tu.

Ushahidi wa picha kwenye nini na uko wapi ?
Hayo mambo nimeyasoma kabla ya hilo bandiko na nimejua kwamba Quran ni kitabu kilichojaa ujinga na
Safi kabisa,hili ulilisoma wapi na ikawaje hukuona haya maelezo niliyo kupa mimi wakati yameshaelezwa zama ambazo hata kina Galileo,Kina Newton walikuwa si wenye kutajita. Hitimisho hapa ni kuwa wewe ni Muongo sababu hili liko wazi mno.
Najua kusoma, imejaa uongo na ujinga, na hata ukisema sijui kusoma, hilo pia litaonesha Quran si kitabu cha Mungu. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote atashushaje kitabu ambacho viumbe wake hawajui kukisoma?
Ukiwa unajibi maswali kama hivi,mjadala unaisha mapema sana.

Niandikie hii aya kwa namna ya usomekaji wake.

2_6.gif

Lingine ambao hawajui kuisoma ni wale ambao hawajataka kuijua,lakini sisi tulifundishwa tukaijua kuisoma,kwahiyo bado hoja yako ni dhaifu,yaani usie jua kuisoma ni wewe na wa mfano wako.
Nimeisoma Quran, nimesoma hadithi, nimesoma "The Meaning of The Holy Quran" cha tafsiri ya Abdullah Yusuf Ali, nimesoma "Muhammad: His Life Based on The Earliest Sources" cha Martin Lings, naambatanisha picha hapa zikiwa na alama ya karatasi iliyoandikwa "Kiranga" ujue hivi ni vitabu ninavyo si picha za kuokota mtandaoni.
Nimecheka sana,ile ya Yusuf Ali siyo Tafsiri ya Qur'aan ile ni Tarjama ya Qur'aan. Kwahiyo hili pia umekosea.

Hicho kingine sishughuliki nacho sababu kinaelezea maisha ya Mtume,nacho kinapimwa katika mizani,swali langu lipo kwenye vitabu vya Tafsiri ya Qur'aan.

Ndiyo maana huwa nataka uwe unajibi maswali. Hapa nahitimisha ya kuwa hujasoma Tafsiri ya Qur'aan bali umesoma Tarjama ya Qur'aan. Hili tatizo la kuwa na misingi ya kielimu. Kwa mtindo huu lazima uwe una copy na ku paste.
Vitabu vyote hivi ninavyozidi kusoma ndivyo ninavyozidi kuona contradictions na kuona Quran ni kitabu kilichojaa uongo ulioandikwa na watu, kimejaa contradictions.
Vitabu ulivyo soma siyo vile ambavyo vinaingia katika vitabu vya Tafsiri.

Kwahiyo swali langu hujajibu na hitimisho lake ni kuwa hujasoma kitabu cha Tafsiri ya Qur'aan bali umesoma Tarjama ya Qur'aan. Kisha tutakuja kumuangalia ni nani Yusuf Ali na huyo mwingine ni nani ?
Na wewe umesoma kitabu gani cha Quantum Physics? Unaweza kuweka ushahidi wa picha kama ninaoweka mimi?
Sijasoma kitabu chochote cha Quantum Physics,swali langu ni je inaingiaje hapa Quantum Physics ? Ukileta habari za Quantum kwangu unatakiwa ujipange hasa mzee.
Kwa nini umefikiri majibu ya maswali ya hapo juu sina?
Sababu huna msingi wa elimu ya kujibu maswali hayo,na majibu yako yamedhihirisha hilo. Ajabu umeulizwa swali la vitabu vya Tafsiri unataja kitabu cha historia,sasa una akili wewe.

Naendelea....
 
Safi kabisa,ujinga mzigo sana. Huwezi kuuvunja huu msingi sababu mpaka wale ambao hawakufikiwa na ujumbe wana kundi lao,achilia mbali wasio jua kusoma. Kwani kuna mtu aliyezaliwa anajua kusoma ? Mbona unajenga hoja kitoto sana ?

Huu msingi huwezi kuuvunja.

Nimecheka sana,ndiyo maana huwa nataka muwe mnajibu maswali sababu nyinyi weupe sana. Suala la Quantum Physics linaingiaje ? Sababu hili msingi wake ni dhana za watu tu.

Ushahidi wa picha kwenye nini na uko wapi ?

Safi kabisa,hili ulilisoma wapi na ikawaje hukuona haya maelezo niliyo kupa mimi wakati yameshaelezwa zama ambazo hata kina Galileo,Kina Newton walikuwa si wenye kutajita. Hitimisho hapa ni kuwa wewe ni Muongo sababu hili liko wazi mno.

Ukiwa unajibi maswali kama hivi,mjadala unaisha mapema sana.

Niandikie hii aya kwa namna ya usomekaji wake.

2_6.gif

Lingine ambao hawajui kuisoma ni wale ambao hawajataka kuijua,lakini sisi tulifundishwa tukaijua kuisoma,kwahiyo bado hoja yako ni dhaifu,yaani usie jua kuisoma ni wewe na wa mfano wako.

Nimecheka sana,ile ya Yusuf Ali siyo Tafsiri ya Qur'aan ile ni Tarjama ya Qur'aan. Kwahiyo hili pia umekosea.

Hicho kingine sishughuliki nacho sababu kinaelezea maisha ya Mtume,nacho kinapimwa katika mizani,swali langu lipo kwenye vitabu vya Tafsiri ya Qur'aan.

Ndiyo maana huwa nataka uwe unajibi maswali. Hapa nahitimisha ya kuwa hujasoma Tafsiri ya Qur'aan bali umesoma Tarjama ya Qur'aan. Hili tatizo la kuwa na misingi ya kielimu. Kwa mtindo huu lazima uwe una copy na ku paste.

Vitabu ulivyo soma siyo vile ambavyo vinaingia katika vitabu vya Tafsiri.

Kwahiyo swali langu hujajibu na hitimisho lake ni kuwa hujasoma kitabu cha Tafsiri ya Qur'aan bali umesoma Tarjama ya Qur'aan. Kisha tutakuja kumuangalia ni nani Yusuf Ali na huyo mwingine ni nani ?

Sijasoma kitabu chochote cha Quantum Physics,swali langu ni je inaingiaje hapa Quantum Physics ? Ukileta habari za Quantum kwangu unatakiwa ujipange hasa mzee.

Sababu huna msingi wa elimu ya kujibu maswali hayo,na majibu yako yamedhihirisha hilo. Ajabu umeulizwa swali la vitabu vya Tafsiri unataja kitabu cha historia,sasa una akili wewe.

Naendelea....
Nimekuwekea vitabu vya Quran ulivyotaka, weka na wewe kitabu cha Quantum Physics hata kimoja ulichosoma.

Ukishindwa nijue wewe ni mpumbavu hujasoma Qunatum Physics.

Mpaka sasa.

1. Hujathibitisha Mungu yupo.

2. Hujatatua contradictions za kwenye Quran.

3. Hujaeleza kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba dunia inayoweza kuwa n amabaya wakati aliweza kuumba dunia ambayo mabaya hayawezi kuwepo.

4. Hujaeleza kwa nini Mungu kashusha habari zake kwenye kitabu, wakati alikuwa na uwezo wa kuweka habari zote kwenye DNA hata wasiojua kusoma kitabu wazijue.

5.Hujaeleza kwa nini Mungu anajifichajificha hajajiweka wazi watu wamjue bila ubishi. Kwani anaogopa anadaiwa kodi na TRA?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwenye calendar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimekuwekea vitabu vya Quran ulivyotaka, weka na wewe kitabu cha Quantum Physics hata kimoja ulichosoma.

Ukishindwa nijue wewe ni mpumbavu hujasoma Qunatum Physics.

Mpaka sasa.

1. Hujathibitisha Mungu yupo.

2. Hujatatua contradictions za kwenye Quran.

3. Hujaeleza kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba dunia inayoweza kuwa n amabaya wakati aliweza kuumba dunia ambayo mabaya hayawezi kuwepo.

4. Hujaeleza kwa nini Mungu kashusha habari zake kwenye kitabu, wakati alikuwa na uwezo wa kuweka habari zote kwenye DNA hata wasiojua kusoma kitabu wazijue.

5.Hujaeleza kwa nini Mungu anajifichajificha hajajiweka wazi watu wamjue bila ubishi. Kwani anaogopa anadaiwa kodi na TRA?
Nacheka sana,hujaweka kitabu cha Tafsiri hapo,hapo umetaja vitabu viwii kimoja cha Tarjama ya Qur'aan cha Yusuf Ali na hicho cha historia ya mtume,sasa historia na Tafsiri wapi na wapi. Nakikumbusha tu hapa tunaongelea elimu na katika hili mimi ni mwalimu wako,na unatakiwa utulie sababu ukileta jazba ndiyo unazidi kukosea.

Bado hujaniambia munasaba wa Quantum Physics na suala la Tafsiri ya Qur'aan uko wapi ? Umeanza kupagawa nini ? Kama unataka kuleta ujuaji kwa kutoka nje ya madq hili kwangu lepesi sana,ujuaji naujua sana na nina uwezo wa kuikosoa Quantum Physics,tena akili zangu na hao waasisi hizo nadharia hazilingani kwa mbali sana,yaani kwa akili tu hawanifikii hasa huyo Albert Einstein. Sasa tulia kijana.

Umeweka Contradictions nyingi kama unavyodai na mimi nimeanza na ila moja,kisha nikasema hatuendi nyingine mpaka moja iishe,sababu kwa majibu hii moja imeisha,sasa nakuja kwenye nyingine,ila uwe unajibu maswali yangu kama ulivyojibu hapa. Kwa mtindo huu tutaenda sawa.

Kuhusu uthibitisho wa uwepo wa Mola,hili nimeshalifanya.

Swali la 4 na 5 hayo yamemili katika uzembe wa watu ila kila kitu kipo wazi ukitaka unajua na kumbuka Mola ametupa uhuru wa kuchagua,ndiyo maana hata wewe unamkana japo huna hoja wala ushahidi.
 
Tumalize nukta hii kisha twende nyingine.

Umejuaje tutaweza kwenda nyingine kabla sijakujibu maswali ambayo yana masharti ya kuvunja mazungumzo na wewe kuniita mimi mjinga?

Na mimi nimekupa sharti la wewe kuweka kitabu cha Quantum Physics ulichosoma tujadili, ukishindwa nikuone mjinga niseme huwezi kujadiliana nami, sasa unaweza kuweka hapa ushahidi kwamba umesoma kitabu cha Quantum Physics nisikuite mjinga tuendelee na majadiliano?
Sababu ulicho kipaste kimeonyesha wazi kabisa kwamba hujui kitu na vitabu ulivyoviweka ndiyo vimezidi kudhihirisha hilo. Kwahiyo nilijua utakosea kwenye maswali niliyo kuuliza kwa kile ulicho kipaste.

Na unaweza kuwa na vitabu na ukawa mjinga vile vile.
 
Sababu ulicho kipaste kimeonyesha wazi kabisa kwamba hujui kitu na vitabu ulivyoviweka ndiyo vimezidi kudhihirisha hilo. Kwahiyo nilijua utakosea kwenye maswali niliyo kuuliza kwa kile ulicho kipaste.

Na unaweza kuwa na vitabu na ukawa mjinga vile vile.
Mpaka sasa.

1. Hujathibitisha Mungu yupo.

2. Hujatatua contradictions za kwenye Quran.

3. Hujaeleza kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba dunia inayoweza kuwa n amabaya wakati aliweza kuumba dunia ambayo mabaya hayawezi kuwepo.

4. Hujaeleza kwa nini Mungu kashusha habari zake kwenye kitabu, wakati alikuwa na uwezo wa kuweka habari zote kwenye DNA hata wasiojua kusoma kitabu wazijue.

5.Hujaeleza kwa nini Mungu anajifichajificha hajajiweka wazi watu wamjue bila ubishi. Kwani anaogopa anadaiwa kodi na TRA?
 
Mimi nimeanza kudai uthibitisho wa kwamba Mungu yupo, toa uthibitisho huo, halafu niulize mimi nitoe uthibitisho wangu.

Siyo wewe hujajibu swali langu, unataka mimi nijibu lako.

Hiyo ni tabia mbaya.

Thibitisha Mungu yupo. Jibu swali langu.

Kisha rejea maswali yako nikujibu.
Kiranga,

Tuthibitishie kwamba Mungu hayupo, hilo tu halafu tutaendelea kuanzia hapo.

Kwa maana sisi tunaoabudu uwepo wa Mungu tunaamini kwenye vitabu vitakatifu, Quran na Biblia ambavyo viko wazi kwa kila mmoja.

Lakini wewe huamini hivyo vitabu, hivyo hata nikikupa maandishi ya uwepo wa Mungu hapa kutoka kwenye vitabu hivyo nitakua napiga gitaa kwenye zizi la Mbuzi.

Nipe uthibitisho wako wa kwamba hakuna Mungu, wacha kuleta tafrani.

Lete uthibitisho tuendelee.

Ninachokiona hapa ni wale watu ambao wanasema hatuendi kanisani wala Msikitini lakini mbona mambo yetu yanaenda?

Kwa sisi tunaomini, hata dunia nzima ikimuasi Mungu haitampunguzia kitu, hivyo kuona mambo yako yanaenda bila kwenda Msikitini au kanisani sio kipimo cha kutokuwepo Mungu.

Mungu yupo na bado unayo nafasi ya kuamini hilo.
 
Naendelea...

Huu mfano hauingii hapa sababu hili liko wazi,na kama logic yenu inatoa mifano mfu namna hii,lazima uone Mola hayupo. Kuweka wazi jambo ambalo liko wazi ni matumizi mabaya ya akili.

Onyesha huo mfano unakaa wapi katika kadhia hii.

Sada hili nataka ulionyeshe kwa Mola wetu. Usilinganishe vitu visivyo fanana.

Sasa jikite katika mada,tumia mantiki yako kuthibitisha ya kuwa Mola hayupo. Ukiweza naacha kujadili hii mada.

Hili liko wazi ni tofauti na hili ninalo kutaka uthibitishe.

Hii ni selft evident truth,yaani ukiona kitu fulani kinakupa jibu la uwepo wa vingine.

Naona unazunguka tu kwa kutoa mfano usiojibu swali langu.

Safi kabisa sasa thibitisha,yaani usitumie Strawman Argument kijana,jibu hoja kulingana na swali husika. Unachofanya wewe ni kama "Umekutana na bondia (mimi) hatari badala uingie kwenye ring upigane umekaa nje unaonyesha mikwara" . Nacheka sana.

Bado nakudai kijana.

Huku rahisi sana. Nataka ukiri ya kuwa umeshindwa kuthibitisha ya kuwa Mola hayupo,haya yanabaki kuwa ni madai,mpaka pale utakapo tupa ushahidi.

Uthibitisho wa uwepo wa Mola unathibitishwa kwa njia nyingi sana. Hizi ni miongoni mwazo.

1. Self evident truth
2. Contingent facts
3. Akili
4. Mazingira
5. Ufunuo

Hizi ni baadhi ya dondoo. Sasa nadubiri ukiri kwamba umeshindwa kuthibitisha ya kuwa Mola hayupo kisha nije kumaliza kazi yangu.

Nipo ....
Self evident truth ni fallacy
 
Kiranga,

Tuthibitishie kwamba Mungu hayupo, hilo tu halafu tutaendelea kuanzia hapo.

Kwa maana sisi tunaoabudu uwepo wa Mungu tunaamini kwenye vitabu vitakatifu, Quran na Biblia ambavyo viko wazi kwa kila mmoja.

Lakini wewe huamini hivyo vitabu, hivyo hata nikikupa maandishi ya uwepo wa Mungu hapa kutoka kwenye vitabu hivyo nitakua napiga gitaa kwenye zizi la Mbuzi.

Nipe uthibitisho wako wa kwamba hakuna Mungu, wacha kuleta tafrani.

Lete uthibitisho tuendelee.

Ninachokiona hapa ni wale watu ambao wanasema hatuendi kanisani wala Msikitini lakini mbona mambo yetu yanaenda?

Kwa sisi tunaomini, hata dunia nzima ikimuasi Mungu haitampunguzia kitu, hivyo kuona mambo yako yanaenda bila kwenda Msikitini au kanisani sio kipimo cha kutokuwepo Mungu.

Mungu yupo na bado unayo nafasi ya kuamini hilo.
Mimi nimethibitisha humu kua Mungu hayupo mbona mnarudia kuuliza swali ambalo lishajibiwa?
 
Mnafunga au mnabadilisha ratiba ya kula.??
Unakula saa 12 au saa 1. Usiku unaamka kula kwenye saa 8-9.
Swali.
Kipindi siyo cha ramadhani, huwa wanakula hivyo? Wakukute unakula m
Sure tunabadilisha tu ratiba... Kama tunavyofanyaga kwenye kwaresma
Ukitaka kuamini hawa jamaa wanabadilisha ratiba kula. Kule Zenji kula mbele yao uone kinachokutokea.
Unaamka usiku saa 8 au 9 unaanza kula.
 
Mpaka sasa.

1. Hujathibitisha Mungu yupo.

2. Hujatatua contradictions za kwenye Quran.

3. Hujaeleza kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba dunia inayoweza kuwa n amabaya wakati aliweza kuumba dunia ambayo mabaya hayawezi kuwepo.

4. Hujaeleza kwa nini Mungu kashusha habari zake kwenye kitabu, wakati alikuwa na uwezo wa kuweka habari zote kwenye DNA hata wasiojua kusoma kitabu wazijue.

5.Hujaeleza kwa nini Mungu anajifichajificha hajajiweka wazi watu wamjue bila ubishi. Kwani anaogopa anadaiwa kodi na TRA?
Unarudia yale yale ambayo nimeshayajibu.
 
Self evident truth ni fallacy
Hili lilikushinda na nilishalimaliza. Tengeneza kwanza kiti chako kisha ukitie nakshi. Imarisha misingi ya Logic(Jambo ambalo wakubwa zako hasa muasisi wa logic Aristoto mpaka anakufa hakujua udhaifu wa logic) kisha uje kujadiliana na mimi.

Sasa hivi tunaikosoa logic habari anayo mwenzako Kiranga.
 
kwa kuongezea tu ni kwamba sio hicho tu bali hata hiyo "contingent fact" nayo ni "Non Causa Pro Causa fallacy"
 
Kiranga,

Tuthibitishie kwamba Mungu hayupo, hilo tu halafu tutaendelea kuanzia hapo.

Kwa maana sisi tunaoabudu uwepo wa Mungu tunaamini kwenye vitabu vitakatifu, Quran na Biblia ambavyo viko wazi kwa kila mmoja.

Lakini wewe huamini hivyo vitabu, hivyo hata nikikupa maandishi ya uwepo wa Mungu hapa kutoka kwenye vitabu hivyo nitakua napiga gitaa kwenye zizi la Mbuzi.

Nipe uthibitisho wako wa kwamba hakuna Mungu, wacha kuleta tafrani.

Lete uthibitisho tuendelee.

Ninachokiona hapa ni wale watu ambao wanasema hatuendi kanisani wala Msikitini lakini mbona mambo yetu yanaenda?

Kwa sisi tunaomini, hata dunia nzima ikimuasi Mungu haitampunguzia kitu, hivyo kuona mambo yako yanaenda bila kwenda Msikitini au kanisani sio kipimo cha kutokuwepo Mungu.

Mungu yupo na bado unayo nafasi ya kuamini hilo.
Wewe acha ujinga, unaamini Quran na Biblia wakati Quran na Biblia zinapingana, Biblia inasema Yesu ni Mungu kama sehemu ya Utatu, Quran inasema Mungu ni mmoja hana mshirika.

Sasa unataka nithibitishe Mungu gani hapo ukisema unaamini Quran na Biblia wakati wenyewe mnaoamini Mungu hata hamjakubaliana Mungu ni nani?

Wanaoamini Quran wanawaita Wakristo Makafiri na kusema hakuna Mungu ila Allah na Mtume Muhammad ndiye mtume wake, Wakristo wanasema bila kupitia kwa Yesu, Mungu Mwana (ambaye Waislamu hawakubali kwamba ni Mungu) hujaingia mbinguni!

Hivi wewe unaelewa hata unachoandika wewe mwenyewe ni kipi kabla sijaanza kujaribu kukujibu?
 
Unarudia yale yale ambayo nimeshayajibu.
Mpaka sasa.

1. Hujathibitisha Mungu yupo.

2. Hujatatua contradictions za kwenye Quran.

3. Hujaeleza kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba dunia inayoweza kuwa na mabaya wakati aliweza kuumba dunia ambayo mabaya hayawezi kuwepo.

4. Hujaeleza kwa nini Mungu kashusha habari zake kwenye kitabu, wakati alikuwa na uwezo wa kuweka habari zote kwenye DNA hata wasiojua kusoma kitabu wazijue.

5.Hujaeleza kwa nini Mungu anajifichajificha hajajiweka wazi watu wamjue bila ubishi. Kwani anaogopa anadaiwa kodi na TRA?
 
5.Hujaeleza kwa nini Mungu anajifichajificha hajajiweka wazi watu wamjue bila ubishi. Kwani anaogopa anadaiwa kodi na TRA?
Haya ndiyo matatizo ya kujadili jambo ambalo huna elimu nalo. Mola wetu hajifichi ndiyo maana alituma mitume kuwasilisha ujumbe,hu ni utaratibu kama ulivyo utaratibu wako uliojiwekea katika uendeshaji wa mambo,ila tofauti yangu na wewe sisi taratibu zetu huwa zinabadilika ila taratibu za Mola wetu hazibadiliki sababu ni sahihi. Mola wetu haonekani hapa tu duniani,ila wale waja wema watakao faulu watalipwa pepo na ziada,ile ziada ni watamuona Mola wao kama vile tuonavyo jua la Saa sita mchana,yaani hiyo siku hakutakuwa na yale mambo ya "Ooh embo sogea na mimi nimuone".

Na hii ni muongoni mwa sababu kwanini Mola wetu ni mjuzi wa yote mwenye nguvu,mwenye huruma,mwenye upendom
 
Back
Top Bottom