Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,616
- 14,106
Mkuu unacho amini wewe usitake kila mtu aamini kwani mim kuto amini katika uislamu nikaamini katika ukristo au nisiamini katika ukristo nikaamini katika uislamu nitapunguza kitu gani katika kutoamink uislamu? Au kuto amini katika ukristo na pia Mungu atapungukiwa nini kwa kuto amini katika njia fulani?Mimi nasema lau wakristo wangesoma au wakakubali kuujua uislam nanfaida zake nina hakika wangekubali na kumwamini Allah pekee na kila alichokiamrisha wakateleza na kuacha aliyoyakataza
Hakika namshukuru Allah kwa kunip njia ya kuingia ktk uislam. Alhamdulillah