silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,644
- 2,416
Ww jiangalie huo mwili wako tu utajua kama Mungu yupo. Hivo vitu uloumbwa navo vitoe halafu katengeze vyako, toa jicho au Figo au moyo halafu nenda dukani ukanunue vyengineKwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo kweli na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi tupu tu za kiimani.