Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

Ukiongelea consistency hivyo, kwanza nitakuuliza, unajua consistency maana yake ni nini?

Nitakuambia Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba dunia ambayo inawezekana kuwa na mabaya, watu wakaumia, wakafa kwa magonjwa, watoto wasio na hatia wakauawa kwa vita na umasikini,kukawa na majanga ya kiasili kama matetemenko ya ardhi na mafuriko yanaua watu sana, si consistency.

Ni kinyume cha consistency, ni contradiction.

Umeongea kitu kizuri sana, consistency. Mungu anatakiwa kuwa na consistency, lakini anaonekana ana contradiction.

Tunaambiwa amejaa upendo na huruma, lakini anaachia watoto wasio na hatia wanakufa kwa njaa na magonjwa na majanga mengi.

Hiyo si consistency, hiyo ni contradiction.

Watu kuwa na fingerprint tofauti si ushahidi kwamba Mungu yupo, ukijua computer programming kidogo tu utajua kwamba unaweza kutengeneza dataset ya vitu bilioni nane kwa kutumia base 24 alphanumeric characters ambazo hazijirudii.

Kama unajua mchezo wa chess, zile squares 64 zinaweza ku produce 10 power 120 unique games as estimated (lower estimate at that) by Claude Shannon.

Sasa aliyebuni mchezo wa chess tu kashabuni chess games (equate that to fingerprints) nyingi zaidi ya mara 15,000 ya watu wote wanaoishi duniani kwa sasa.

Kila mtu anayeishi anaweza kucheza michezo ya chess 15,000 ya chess, kila mchezo ukawa tofauti na mwingine, na michezo ya chess ikawepo mingi tu bado haijachezwa.

Sasa ukielewa mambo kama hayo
Umejichanganya mkuu. Kiufupi hoja yako kuhusu programming inaunga mkono hoja yangu kwamba Mungu yupo na kwamba yeye ndio alie fanya hiyo programming ndio maana Kila mtu anae zaliwa anakuja na finger prints zake.

Kuhusu hiyo hoja ya contradiction wewe ndio huelewi. It is just a nomenclature. Ni kitu ambacho hukijui Ila umeamua kukipa jina kwa.sababu hukijui.

Infact nilifanya makosa makubwa sana ku prove uwepo wa Mungu bila kuku uliza unataka nitumie model ipi ya proof.

Unajua ishu sio ku proof kuwa Mungu yupo. Ishu ni " standard of proof " inayo takiwa kutumika ku proof uwepo wa Mungu. Standard of proof zipo za aina nyingi sana..Kila standard moja inatumika kivyake. .

Kwa mfano kwenye habari za kesi mahakamani, huwezi ku proof a criminal case kwa kutumia civil cases standard of proof. Kwa sababu in criminal case a standard of proof ni nyingine na in civil cases standard of proof ni nyingine.

Huwezi tumia standard of proof ya kwenye civil case to prove a criminal case.

Vivyo hivyo kwa habari ya uwepo wa Mungu.

Kabla sijaendelea, unataka ni proof uwepo wa Mungu kwa kutumia which standard of proof?
 
Wakatoliki tuna sala ya kusujudu ardhi, hii sala walifundishwa watoto watatu wa Fatima na Malaika. Aliwaambia hivi ndivyo Mungu anapenda kuabudiwa. Unatazama kule jua linakochomozea na kusujudu ukisema “Mungu wangu ninakuamini, ninakuabudu na ninakutukuza. Ninawaombea msamaha wale wote wasiokuamini, wasiokuabudu na wasiokutukuza. Unarudia mara tatu.
Mmhh!!!, Mbona hiyo sala Mimi siijui?, Imeandikwa wapi ktk vitabu vya Kanisa Katoliki?,Misale ya Waumini?,Katekisimu?,Chuo kidogo Cha Sala?,nk.Wapi?,ili nikasome.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kama ni fraud. Kwann kwenye shule zenu hamtumii hiyo Moon Calender?
Kwenye simu yako, set tarehe, mwezi na mwaka wa hiyo moon calender. Watu wakikuuliza tarehe, mwezi au mwaka wajibu wa hiyo moon calender.
Kama una watoto waambie nao watumie calender ya moon calender.
Lete matokeo hapa.
Kimeumana.Akikujibu naomba unitag.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kama ni fraud. Kwann kwenye shule zenu hamtumii hiyo Moon Calender?
Kwenye simu yako, set tarehe, mwezi na mwaka wa hiyo moon calender. Watu wakikuuliza tarehe, mwezi au mwaka wajibu wa hiyo moon calender.
Kama una watoto waambie nao watumie calender ya moon calender.
Lete matokeo hapa.
Mdogo wangu, Walio anzisha mfumo wa shule na ku manufacture saa ndio walio asisi Gregorian Calendar
Kama ni fraud. Kwann kwenye shule zenu hamtumii hiyo Moon Calender?
Kwenye simu yako, set tarehe, mwezi na mwaka wa hiyo moon calender. Watu wakikuuliza tarehe, mwezi au mwaka wajibu wa hiyo moon calender.
Kama una watoto waambie nao watumie calender ya moon calender.
Lete matokeo hapa.
 
Huo ni utalatibu wa Mwenyezi Mungu kwa watu wake,Mwenyezi Mungu anasema {Enyi mlioamini!Mmeandikiwa Saumu.kama walivyoandikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kumcha Mungu.(Mfunge)siku maalum za Kuhesabika na atakaye kuwa miongoni mwenu mgonjwa au yumo safarini basi atimiza hisabu katika siku nyingine. Na wale wasio weza watoe fidiya kwa kumlisha masikini na atakaye fanya wema kwa kujitolea,Basi ni bora kwake na Mkifunga ni bora kwenu kama mnajua}
 
Unajua Ndugu yangu hekima ya mafundisho ya Kiisilamu,Mwenyezi Mungu kasema sio shehe kasema kwa hiyo ni Amri
Mimi nasema lau wakristo wangesoma au wakakubali kuujua uislam nanfaida zake nina hakika wangekubali na kumwamini Allah pekee na kila alichokiamrisha wakateleza na kuacha aliyoyakataza
Hakika namshukuru Allah kwa kunip njia ya kuingia ktk uislam. Alhamdulillah
 
Back
Top Bottom