Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Yeah!Nasadiki kwa Mungu mmoja, Muumba wa mbingu na nchi, na vitu vyote, vinavyoonekana na visivyoonekana.
Huu msemo wa kusema eti fulani amechaguliwa na Mungu, umekaa kisiasa zaidi kuliko kiimani
Mbona mm simlilii?Acha unafiki, Afrika nzima inamlilia Magufuli sasa hivi. Mwaache yetu amalizie kazi ya Musa. Mimi naamini Magufuli ni Musa, mama Samia ndio Yoshua.
Kwa mujibu wa Bishop Methodius Kilaini, naye aliwahi kudai kuwa Jiwe ni chaguo la MM.Alipigiwa kama Makamu, ila Mungu amefanya substitution baada ya kuona beki iliyopo inacheza rafu bila mpangilio.
Wajinga mko wengi!Ndio sababu amesema sababu ,za" kiroho " yaan mambo yanatokea hata hujui kwa nini yameyokea hivo , rais asinge fariki mama asingekalia kiti.
Leta ushahidi tafadhali!Mama Samia hakuwah kuomba mahala popote kuwa mgombea wa urais ktk nchi hii,2015 alikiwa mwanachama tu wa kawaida ghafla akapendekezwa awe mgombea mwenza na mwaka huu wa juu Yake anatwaliwa anajikuta anabeba nafasi,Mungu alipanga aje kuwa rais wa nchi hii kwa wakati huu,miaka 5 ya kwanza ilikuwa Ni rehearsal kujua nn kinafaa Nini hakifai,
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Tukishusha, wengine watasema hata hatujazika bado tushaanza maneno.Personally I would be glad hayo makandokando yashuke right this moment! Short of that wengine watasema ’majungu!’
Just a personal wish anyway!
Some of us have what the French call "savoir faire" despite the appearance of a brusque cold blooded nature.I honestly thought with the passing of “our dear” president then we would learn not to hold things for the after?!?
Yatoeni watu wajue otherwise “watu” watayahesabu kama maneno tu na si reality!
All the best to the “Chief in Command!”
Exactly mkuu, huyo Mungu mnampa majukumu hata hahusiki.Mama Samia alichaguliwa na Hayati JPM kuwa Mgombea Mwenza, na kisha amechaguliwa na vifungu vya sheria kuwa rais. Tusimsingizie Mungu
Wewe ndiyo usiyeweza kufikiria vizuri la sivyo usingeleta Uzi huu hapa Jukwaani.hupendi kufikiria
kwahiyo JPM ameondolewa na Mungu kwakuwa hakuwa chaguo la MUngu??????????Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja.
Huyu katuma post kufanya experiment. Kwa sababu anajua waafrika mmefocus sana kwenye concept ya dini kuliko kutatua matatizo katika hali ya uhalisia. Kumbuka concept ya dini ndo iliyokuweka utumwani. Ni bora kuwa spiritual kuliko kua religiouskwahiyo JPM ameondolewa na Mungu kwakuwa hakuwa chaguo la MUngu??????????
Huyu katuma post kufanya experiment. Kwa sababu anajua waafrika mmefocus sana kwenye concept ya dini kuliko kutatua matatizo katika hali ya uhalisia. Kumbuka concept ya dini ndo iliyokuweka utumwani. Ni bora kuwa spiritual kuliko kua religiousExactly mkuu, huyo Mungu mnampa majukumu hata hahusiki.
Kila mtu ana sababu zake za kuamini anacho amini.....kawaida binadamu tunaangalia kila jambo kwa mitazamo tofauti...nitabaki kuamini kuwa Hakuna Uungu wowote katika hili....ni Katiba ndio inasema hivyo na imekuwa!Niandike japo, kuchaguliwa na Mungu hainamaana kwamba ingekuja kimiujiza unayofikiri wewe eti mfano tunaamka hasubui Tz nzima tunasikia sauti kutoka juu “Samia nimemchagua awe Rahisi” hapana.
Mambo ya kiiungu yanapitia njia zilezile zakawaida zilizowekwa na binadamu, kimazingira na kisayansi ila the way ilivyitokea uki connect dot unaona kuna something hapa.
Dots
1)Aligombea lakini si urahisi...Dot..A(Kama nguvu iliona kuna nafasi ana stahili si ile)
2)Mwanamke wa kwanza kama makamu... Dots...B(kama aliandaliwa na nature hivi iwe kwasababu tiyari kuna kifungu fulani kikatiba kitakamilisha mchezo.
3)Kufa kwa Raise... Dots... C (Him dot imekuja kukamilisha mchezo tu kifo hapa sitaki kueleza sana Sina Muscles)
Jambo la kiuungu linapitia njia ile ile tu...Mfano unaenda Intiview mkoa huna hata 10 Tzs ya nauri ushafaiti umekosa PAAH... Imesibitishwa umepokea 50,000 Tzs kupitia Tigopesa mtu kakosea muamala Hiyo ni Dots 70%.
Kuna jambo nataka kulifanya naona kuna Dots...nyingi sana zinanipa nguvu kuliendea.
...Kwa mantiki yenu basi kila awaye Rais wa Tanzania ni Chaguo la Mungu...so hakuna upekee wowote kwa huyu...!Angepita kwa Option nyengine ambayo ingewekwa...cha msingi uwelewe Mantiki hata Mungu amlete Mtume wake leo mimi sio mkristo ningekuwa mkristo ningesema (Hata angemshusha mwanawake wapekee leo aje aongoe nchi) sikwamba sauti ya kimiujiza ingetoka juu kwamba nimemchagua huyu NOOH...angepita njia zilezile zilizowekwa na System ila kwanjia ya pekee sana.
Denying what? that who ever will be become a President after the "hands of Nature do take their course" will be God's choice? if that is the case then..Yes I will still be in denial......Would you still be in denial if the Hands of nature took its course and they both become “the late”
Life has a meaning only to the ones who consider it’s meaning!