Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

Nasadiki kwa Mungu mmoja, Muumba wa mbingu na nchi, na vitu vyote, vinavyoonekana na visivyoonekana.
Huu msemo wa kusema eti fulani amechaguliwa na Mungu, umekaa kisiasa zaidi kuliko kiimani
Yeah!
 
Alipigiwa kama Makamu, ila Mungu amefanya substitution baada ya kuona beki iliyopo inacheza rafu bila mpangilio.
Kwa mujibu wa Bishop Methodius Kilaini, naye aliwahi kudai kuwa Jiwe ni chaguo la MM.
Hivi kweli chaguo la MM linaweza kucheza rafu kweli?
 
Mama Samia hakuwah kuomba mahala popote kuwa mgombea wa urais ktk nchi hii,2015 alikiwa mwanachama tu wa kawaida ghafla akapendekezwa awe mgombea mwenza na mwaka huu wa juu Yake anatwaliwa anajikuta anabeba nafasi,Mungu alipanga aje kuwa rais wa nchi hii kwa wakati huu,miaka 5 ya kwanza ilikuwa Ni rehearsal kujua nn kinafaa Nini hakifai,

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Leta ushahidi tafadhali!
 
Personally I would be glad hayo makandokando yashuke right this moment! Short of that wengine watasema ’majungu!’

Just a personal wish anyway!
Tukishusha, wengine watasema hata hatujazika bado tushaanza maneno.

We can't win either way.
 
I honestly thought with the passing of “our dear” president then we would learn not to hold things for the after?!?

Yatoeni watu wajue otherwise “watu” watayahesabu kama maneno tu na si reality!

All the best to the “Chief in Command!”
Some of us have what the French call "savoir faire" despite the appearance of a brusque cold blooded nature.

In addition, the beginning of a new administration gives reason to grant a blank slate to the new president and asses her on the merit while she is at the helm with no individual to report to.

I honestly do not want to badmouth Madam President before I give her the chance to lead.

That does not mean she is faultless.
 
Mungu gani amemchagua Samia Suluhu Hassan? Kama kura si walipigiwa wote yeye na Magufuli?

Kama waliiba si waliiba wote? Au umesahau kama Samia alikua mgombea mwenza?
hupendi kufikiria
 
Mama Samia alichaguliwa na Hayati JPM kuwa Mgombea Mwenza, na kisha amechaguliwa na vifungu vya sheria kuwa rais. Tusimsingizie Mungu
Exactly mkuu, huyo Mungu mnampa majukumu hata hahusiki.
 
kwahiyo JPM ameondolewa na Mungu kwakuwa hakuwa chaguo la MUngu??????????
Huyu katuma post kufanya experiment. Kwa sababu anajua waafrika mmefocus sana kwenye concept ya dini kuliko kutatua matatizo katika hali ya uhalisia. Kumbuka concept ya dini ndo iliyokuweka utumwani. Ni bora kuwa spiritual kuliko kua religious
 
Exactly mkuu, huyo Mungu mnampa majukumu hata hahusiki.
Huyu katuma post kufanya experiment. Kwa sababu anajua waafrika mmefocus sana kwenye concept ya dini kuliko kutatua matatizo katika hali ya uhalisia. Kumbuka concept ya dini ndo iliyokuweka utumwani. Ni bora kuwa spiritual kuliko kua religious
 
Niandike japo, kuchaguliwa na Mungu hainamaana kwamba ingekuja kimiujiza unayofikiri wewe eti mfano tunaamka hasubui Tz nzima tunasikia sauti kutoka juu “Samia nimemchagua awe Rahisi” hapana.

Mambo ya kiiungu yanapitia njia zilezile zakawaida zilizowekwa na binadamu, kimazingira na kisayansi ila the way ilivyitokea uki connect dot unaona kuna something hapa.

Dots
1)Aligombea lakini si urahisi...Dot..A(Kama nguvu iliona kuna nafasi ana stahili si ile)

2)Mwanamke wa kwanza kama makamu... Dots...B(kama aliandaliwa na nature hivi iwe kwasababu tiyari kuna kifungu fulani kikatiba kitakamilisha mchezo.

3)Kufa kwa Raise... Dots... C (Him dot imekuja kukamilisha mchezo tu kifo hapa sitaki kueleza sana Sina Muscles)

Jambo la kiuungu linapitia njia ile ile tu...Mfano unaenda Intiview mkoa huna hata 10 Tzs ya nauri ushafaiti umekosa PAAH... Imesibitishwa umepokea 50,000 Tzs kupitia Tigopesa mtu kakosea muamala Hiyo ni Dots 70%.

Kuna jambo nataka kulifanya naona kuna Dots...nyingi sana zinanipa nguvu kuliendea.
Kila mtu ana sababu zake za kuamini anacho amini.....kawaida binadamu tunaangalia kila jambo kwa mitazamo tofauti...nitabaki kuamini kuwa Hakuna Uungu wowote katika hili....ni Katiba ndio inasema hivyo na imekuwa!
 
Angepita kwa Option nyengine ambayo ingewekwa...cha msingi uwelewe Mantiki hata Mungu amlete Mtume wake leo mimi sio mkristo ningekuwa mkristo ningesema (Hata angemshusha mwanawake wapekee leo aje aongoe nchi) sikwamba sauti ya kimiujiza ingetoka juu kwamba nimemchagua huyu NOOH...angepita njia zilezile zilizowekwa na System ila kwanjia ya pekee sana.
...Kwa mantiki yenu basi kila awaye Rais wa Tanzania ni Chaguo la Mungu...so hakuna upekee wowote kwa huyu...!
 
Would you still be in denial if the Hands of nature took its course and they both become “the late”

Life has a meaning only to the ones who consider it’s meaning!
Denying what? that who ever will be become a President after the "hands of Nature do take their course" will be God's choice? if that is the case then..Yes I will still be in denial......
 
Back
Top Bottom