Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

Hii ni Natural Calamity china inawatu wengi sana kwahiyo ecosystem mpaka ibalance kwa watu kufa ili kusudi waendane na resources zilizopo lakini hayo yote ni Mipango ya Muumba Allah(sw)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejua kwamba Corona itakuumbua hadi Saudia usingeandika ujinga huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya CORONA ipo Tanzania now. Je na sisi tunapewa adhabu na Allah kwa sababu gani?. Au italy wanaadhibiwa vikali vile kwa sababu gani?.
 
Tabiri za kipuuzi kama hizi ndo zinazidi kufanya watu kudharau dini.. Rudi jukwaani kunguru mkubwa useme ni vipi adhabu ya Allah inaua bila kuchagua mgonjwa ana amini upande gani
 
Aje ajibu hii comment au kakimbia Uzi
 
Huyu jamaa kwa kujikuta mchambuzi na mada zake za kufikirika. Kwahiyo alikaa akawaza akaamini virusi vile vitaishia China akajikuta GT + plus mwanazuoni wa dini yake. Mwishowe alitoa ujinga ambao unamdhalilisha.
 
Dini zinatesa sana akili za watu, ko nawe umeona hii ni hoja kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabiri za kipuuzi kama hizi ndo zinazidi kufanya watu kudharau dini.. Rudi jukwaani kunguru mkubwa useme ni vipi adhabu ya Allah inaua bila kuchagua mgonjwa ana amini upande gani

Tabiri za kipuuzi kama hizi ndo zinazidi kufanya watu kudharau dini.. Rudi jukwaani kunguru mkubwa useme ni vipi adhabu ya Allah inaua bila kuchagua mgonjwa ana amini upande gani
 
Nataka kujua Iran kuna waislamu kweli? Samahani kwa usumbufu
Tabiri za kipuuzi kama hizi ndo zinazidi kufanya watu kudharau dini.. Rudi jukwaani kunguru mkubwa useme ni vipi adhabu ya Allah inaua bila kuchagua mgonjwa ana amini upande gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni serikali ya china ndio ililengwa mbona corona imekosa target? Halafu mambo ya kiroho hayanaga facts; mfano, hiyo roho yenye haijulikani hata shape yake na inapokaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…